Dak. 36 Simba 2-1 MCC
Jamaa wanaanza kunegate, inabidi ukuta waSimba uwe makini hatatutaki wazee wote kufedheheshwa na hawa mabwana wadogo.
Dak. 36 Simba 2-1 MCC
Naona leo umetusaliti Mkuu@Makoye Matale au siyo!!
Goooooooooooooo
Dk4: Simba0-1Mbeya city
Naona leo umetusaliti Mkuu Makoye Matale au siyo!!
Mbeya city 1
nimesoma jibu lake na ulichokiandika nimeshindwa kuelewa kwanini katikana lakini nikakumbuka mke wangu anapokuwa kwanye siku zake au usipomfanya kwa muda huwa na kisilani sana
Kweli?
Huyu Mrundi ni balaa.
mkuu tuanze kumtafutia dawa mapema huyo tambwe.., ikiwezekana tumpeleke uhamiaji inawezekana ni "muhamiaji haramu"
simba 2 -Mbeya 0
mkuu tuanze kumtafutia dawa mapema huyo tambwe.., ikiwezekana tumpeleke uhamiaji inawezekana ni "muhamiaji haramu"
Hahahah mkuu you have just made my weekend. Lol
Ngoja nichungulie Jangwani kwanza. Wanaume wanapigania ukombozi pale.