Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Mkuu Asprin msamehe huyo dogo,maana kizazi cha Mulugo full majanga.
Huku kwenye sport huwezi tukana,otherwise unamatatizo kichwani.

Nimekusoma mkuu mandieta. Ngoja niangalie na upande wa pili kinachojiri jangwani
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na sababu yote ya kutukana. Mwanzisha thread kasema anatoa updates za mechi ya simba vs mbeya city. Kama hana uwezo wa kuleta mechi nyingine tumlazimishe?

Nimekusamehe kwa kuwa umri wangu hauniruhusu kutukanana na mtu nisiyemjua.

nimesoma jibu lake na ulichokiandika nimeshindwa kuelewa kwanini katikana lakini nikakumbuka mke wangu anapokuwa kwanye siku zake au usipomfanya kwa muda huwa na kisilani sana
 
Ngoja ntarudi kuchungulia updates!
Leo nina kazi nyingi za kiserikali.
 
Vipi mtanange haujaanza tu huko Taifa?

Tambwe huyo anawainua wanamsimbazi, huyu jamaa atafunga magoli mia msimu huu
 

Attachments

  • simba- Tambwe hiza kidole juu.jpg
    simba- Tambwe hiza kidole juu.jpg
    8.7 KB · Views: 423
Hahahahahaha.
Aya bana mmetangulia!

Mkuu wangu hata kwenye vikao vya ukoo mkiona mzee mwenzenu anataka kufedheheshwa na vijana inabidi muingilie kati kumsapoti mzee mwenzenu maana mkiacha tu vijana wanaota mapembe, imagine Mbeya city adraw na timu kama Simba, Yanga halafu na Azam hayo mapembe yatakuwaje?
 
Hamisi Tambwe tena, duuh huy Mrundi hatari sana
 
Tambwe anaipatia Simba goli la Pili na la pili kwakwe kwa mechi ya leo.
 
Raha sana sijuwi yanga wanamuona tambwe maana hawachelewi kuaribu hali ya hewa
 
Back
Top Bottom