Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

kwa kuweka kumbukumbu sawa mwezi kama huu mwaka 1998 Yanga alikula 6-0 na Raja Casablanca.
Mkuu, umenikumbusha mbali aisee; tukio ambalo nalikumbuka ktk hii mechi, ni pale tu ambapo Keni Mkapa wa Yanga alikuwa kwenye position nzuri ya kufunga akataka afunge kwaTIKITAKA akapiga hewa badala ya mpira.
 
Mbona hujatukumbusha Yanga 6-1 Coffee mwaka huo huo? Wakuu mbona mko biased?
 
acha u.f...la wewe kwan kila habar unayoisoma hapa mleta mada anakuwa eneo la tukio?hata hvyo huyo jamaa hayupo dar yupo mbeya.kwa nin acngeleta uzi wa mtibwa na prison?
Kulikuwa na sababu yote ya kutukana. Mwanzisha thread kasema anatoa updates za mechi ya simba vs mbeya city. Kama hana uwezo wa kuleta mechi nyingine tumlazimishe?

Nimekusamehe kwa kuwa umri wangu hauniruhusu kutukanana na mtu nisiyemjua.
 
Mkuu vipi, si umpuuze tu mithili ya Ndugai pale bungeni!
 
Kulikuwa na sababu yote ya kutukana. Mwanzisha thread kasema anatoa updates za mechi ya simba vs mbeya city. Kama hana uwezo wa kuleta mechi nyingine tumlazimishe?

Nimekusamehe kwa kuwa umri wangu hauniruhusu kutukanana na mtu nisiyemjua.
Mkuu Asprin msamehe huyo dogo,maana kizazi cha Mulugo full majanga.
Huku kwenye sport huwezi tukana,otherwise unamatatizo kichwani.
 
Last edited by a moderator:
punguza jazba mkuu.., japokuwa unachosema ni kweli tupu, mara ngapi mkuu MANDIETA anaanzsha thread na inavutia kwa jinsi anavyokuwa anaisimamia.

Mkuu wangu si kila mtu ana uwezo wa kufanya anachokifanya Mandieta. Nadhani na hapa umenielewa kama unavyonielewa MMU.

Baada ya kusema hayo ngoja niishie hapa nisije kutukanwa tena na watoto wasio na adabu.
 
Back
Top Bottom