Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Huyu mhamiaji haramu Tambwe, aandaliwe mipira yake miwili kabisa.
 
Leo leo wale wakare wapya kwenye mchuano huu unaoendelea,na walomtoa jASHO BINGWA mtetezi Dar Yanga leo wanatupa tena upinde wao kuona je wanaweza kumchezea sharubu Simba...

utwalubunju...

Stay alert...Simba fc vs Mbeya City

update hii thread kupunguza usumbufu mkuu zebedayo
 
nani atakayemtuliza?

Simba kwa kujidai: Unakumbuka majigambo haya; 1. Nani atamkaba Damian Kimti? 2. Nani atamkaba Mchunga Bakari? 3. Nani atamkaba Joseph Kaniki? 4. Nani atamkaba Monja Liseki? 5. Nani atamkaba Emmanuel Okwi? 6. Na sasa ni Nani atamkaba Hamisi Tambwe? Mnajidanganya, subirini majibu yenu.
 
unakumba tano bila huku Okwi akiwakojolea vitatu na kusababisha penati 2..
 
Back
Top Bottom