Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

unakumba tano bila huku Okwi akiwakojolea vitatu na kusababisha penati 2..

Mchezo huo ulichezwa nje ya uwanja. Kwa kuwa imebaki kuwa historia, hatuhitaji ku-discuss sana. Nakuhakikishia huyo Tambwe lazima atulizwe.
 
sawa, ila ili jukwaa ni la sport, timu sio YANGA na simba tu, watu wanataka updates za timu nyingine pia kwan kwa ujumla wao ndio zinafanya uwepo wa ligi kuu ya tanzania, ni vizuri kuweka mechi zote na kuzi update pia.
nakuunga mkono ila zingine weka wewe
 
DSC_0330.jpg
 
Naona, Okwi leo amekuja kutusalimia hapa...
Yupo uwanjani anafatilia gemu
 
Hawa Mbeya City naona wanazidi kuimarika kila dakika.
 
Back
Top Bottom