Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

....sijui kwanini Yanga walikua wanapiga kelele na Ma-Rufaa yao: Timu ya Mbeya City-kutoa droo inastahili kabisa: inacheza mpira mzuri na vijana wake wanajituma.
 
Naona salaam wamezisoma kiarabu. Kwa kurudi kushoto sio kwenda mbele
 
Mkuu usijiami sana hao jamaa walikuwa na wachezaji wao tegemeo watatu walikuwa majeruhi na wote wamepona hivyo kama wako fiti kocha atakuwa na wigo mpana wa kuchagua wachezaji na kufanya kikosi kiwe imara zaidi, watatu hao ni Brian Umony, Humphrey Mieno na John Bocco.

Hawa jamaa wote walikuwa majeruhi kabla ya jana na jana ndo ilikuwa mechi yao ya kwanza ya ligi kuu, cheki walivyopasiana hadi kumtungua Ally Mstafa dakika ya kwanza tu

Azam website said:
Katika mchezo huo Azam FC ilianza mapema kuandika kalamu ya magoli kupitia kwa nahodha wa kikosi hicho John Bocco aliyefunga goli la kichwa katika dakika ya kwanza ya mchezo baada ya kumalizia mpira uliopigwa na Brian Umony aliyeunganisha krosi ya Humprey Mieno na kuacha mabeki wa Yanga wasijue la kufanya.
 
Hawa jamaa wote walikuwa majeruhi kabla ya jana na jana ndo ilikuwa mechi yao ya kwanza ya ligi kuu, cheki walivyopasiana hadi kumtungua Ally Mstafa dakika ya kwanza tu

Mkuu hawa jamaa tulishawashika vyema, walikuwa wanaomba mpira uishe wapate hiyo sare. Yanga tumekufa kiume kama vile Kanumba alikufa katika harakati za kubenjua nasi hivyo hivyo tumekufa katika harakati za kupiga bao, tulipokosa wenzetu wakatuwahi na mpira ukaisha. Siku ya jana sikuumia kufungwa na Azam kutokana na mazingira ya mchezo wenyewe, hakuna wa kulaumiwa, hilo ndilo soka. Kumbuka heri aliae sasa, atakaponyamaza utalia wewe.
 
Ntale Makoye mngekuwa mnakubali kama hivi na sio kutoa visingizio ligi ingekuwa nzuri lakini sasa mashabiki hatutaki kusikia mpira una matokeo ya aina tatu: kufunga, sare au kufungwa mpaka tunaweka pressure kubwa kwa wachezaji na kujikuta wanacheza zaidi ya uwezo wao na kujikuta wanapoteza umakini na pengine kupata majeraha; walichoonyesha jana Yanga ni kwa sababu ya pressure ya mashabiki na sare tatu zilizokuwa zimetangulia.

Naona siku hizi umekuwa mzee wa misemo yote ya wahenga na ya kwenye biblia; lakini kumbuka misemo ya kikwetu pia 'Uyo atongelile atongelile duhu okunuma akwimana ng'wenekele'
 
Back
Top Bottom