mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Maswali yangu kwako Mh. Zitto:
1. Je, ni kweli CHADEMA ni chama chenye kuendekeza ukabila, ukanda na udini? Kama ni kweli:
(a) Tupe mifano hai katika maeneo hayo.
(b) Wewe kama kiongozi wa chama unafanya nini kuondoa hali hiyo ili kurudisha imani ya walio wengi.
2. Je, ni kweli unataka kugombea urais uchaguzi ujao? Kama ni kweli, kwanini unaanza kutangaza(kama tunayoyasoma ni ya kweli) mapema na nje ya utaratibu wa chama?
3. Ni kwanini hujataja majina ya viongozi walioficha fedha Uswiss kama ulivyoahidi?
4. Unasemaje kuhusu tuhuma kwamba na wewe Zitto ni mmoja wa walioficha fedha Uswiss?
Ngoja nimezee maswali mengine mkuu AshaDii asije akanikodolea macho bure! Kwa kukiuka masharti.

Last edited by a moderator: