Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Swali
- Msimamo wako ni upi kuhusiana na madai ya waislamu? ususani kina Ponda na taasisi za kislamu
- Ni upi msimamo wako kuhusiana na madai ya kikundi cha UAMSHO kule znz?
- Una msimamo gani kuhusu madai ya malawi juu ya ziwa nyasa
- Kama nipo sahihi nishawai kukusikia ukitamka hautagombea nafasi yeyote ndani ya chama chako mwakani (2013) bali ikifika mwaka 2015 utaomba ridhaa kwa chama chako kikusimamishe kugombea Uraisi; swali kwanini mwakani (2013) umeamua kutogombea nafasi yeyote ndani ya chama chako?
Asante sana Mheshimiwa.
Swali namba 1 na 2 yanamhusuje Zitto. Acha chokochoko.
- Maswali Yangu,Zito Kabwe ulikuwa mmoja wa wanachama muhimu sana hapa Jamiiforums tena ukitumia jina lako halisi na kuchangia mijadala mbalimbali,Ni muda mrefu sana michango yako haionekani Je nini kimekukimbiza hapa Jamiiforums?
- Kumekuwa na shutuma nyingi sana kuhusu wewekutoka miongoni mwa wanachama/mashabiki wa CHADEMA ,wanasema wewe ni mamluki wa CCM je una maoni gani kuhusu hizi shutuma?
@Ashadii ,nakubaliana na wewe nilikuwa sijaona hizo thread zake lakini still ukichunguza utagundua kuwa baada ya kupotea kwa muda mrefu sana alirudi tena mwezi September na sio mwezi huu kama ulivyosema
Kwani ni lazima akija JF kwamba alog in? haiwezekani yeye kuja hapa kama Guest tu kama anaona hana cha kuchangia kwenye mjadala husika?@Ashadii ,nakubaliana na wewe nilikuwa sijaona hizo thread zake lakini still ukichunguza utagundua kuwa baada ya kupotea kwa muda mrefu sana alirudi tena mwezi September na sio mwezi huu kama ulivyosema
Mh Zito,
CCM ina reform kwa kasi, inaonekana ikawa kwenye nuru mpya kabisa hadi kufikia 2015.
1. Unaona tofauti ya msingi kati ya CCM na CHADEMA ni IPI?
2. Nini kinakuvutia ndani ya CCM amabcho hakipo CHADEMA?
3. Bado unafikiri wewe kuwa CHADEMA ni tija kwa jamii kuliko kuwa Chame kingine say CCM?
Jakaya Kikwete na kamati kuu ya CCM.