EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

Status
Not open for further replies.
Asha Dii
Tuletee mh. Zitto aingie kwenye mtandao ajibu direct kutoka kwa wahusika

Chama
Gongo la mboto DSM


Mkuu Chama,

Toka nimeanza hili zoezi la kukusanya maswali ni wachache sana ambao wanapitia pages na kuangalia maswali gani yameulizwa na kama hayo maswali ambayo yeye anauliza yanajirudia. Ni sawa pia na hili wazo ulilotoa ambalo kama ingekuwa inawezekana ingekuwa bora zaidi. Kwa bahati mbaya saana haiwezekani kwa sababu zifuatazo:


  1. Ikitokea kila mmoja akawa na nafasi ya kumuuliza yeye Zitto moja kwa moja LAZIMA maswali yatajirudia tokana na ile tabia ya watu kuona uvivu kuangalia mjadala uliko toka kiasi kwamba hata yeye mwenyewe Zitto atachoka kujirudia; on top of kuna watu wana misuse hiyo nafasi na badala ya hoja watatoa vioja maana sio kila mtu anatii maagizo.
  2. Nia na malengo yangu katika huu mjadala ni kuhakikisha kuwa by the time tumemaliza hata yule ambaye hatakuwepo kufuatilia siku hio aweze kusoma toka mwanzo hasi mwisho wa mjadala na kuufuatilia bila tatizo lolote.
  3. Tupo more than 98 thousand members at Jf. Ikitolewa ruhusa ya kila mmoja kuuliza maswali watakuwa active zaidi ya 100 wote wakitaka kuuliza na kujibiwa, hivi mkuu Chama unaweza niambia namna gani itaendeswa? Mpangilio wa thread? Namna na wakati gani itabidi Zitto akae hapo? Week moja haitatosha... Kurahisisha nilifikiria the best way ni kukusanya maswali, kuyapanga vizuri then kumuuliza.
  4. Take note mkuu hii ni forum inayotegemea kujibishana kwa posts... Ingekuwa ni mdahalo live kama wa TV or Skype kama alivyotaka Mbuzi Mzee labda walau ingewezekana.
 
Last edited by a moderator:
ASHIDII unawapatia sana wanaouliza maswali ya ovyoovyo...napenda majibu yako.Yaani unawapa makavu yenye ukweli ndani yake.


Mkuu Tuntemeke its an honor, kusifiwa na wewe nadra saana... Maana wewe ni bingwa wa kuponda ki intelligensia ambayo mara nyingi hufanya watu akili zipae kabisa! Nahisi umesomea hii sector sio buree! Lol

Naona itabidi nifanye jitihada niombe wana jamvi nikuhoji pia nikusanye maswali ya kukugonga nayo ili ujisafishe ama kujichafua kabisa tegemeana na mapokeo ya members wenyewe. Lol.
 
Mkuu Tuntemeke its an honor, kusifiwa na wewe nadra saana... Maana wewe ni bingwa wa kuponda ki intelligensia ambayo mara nyingi hufanya watu akili zipae kabisa! Nahisi umesomea hii sector sio buree! Lol

Naona itabidi nifanye jitihada niombe wana jamvi nikuhoji pia nikusanye maswali ya kukugonga nayo ili ujisafishe ama kujichafua kabisa tegemeana na mapokeo ya members wenyewe. Lol.

huyo ana ids 28. atajiuliza maswali simple na kujijibu. chezeya tunte weye!
 
Esther Wasira nimekuona hapo chini upo kusoma... Nimefunga kupokea maswali ila kwa my fellow woman upendeleo hupo :becky:. Toa maoni yako kama hutajali, na pia kuna kitu chochote unacho cha kumuuliza mkuu Zitto? Naamini u mzima wa afya.
 
Last edited by a moderator:
halafu siku ile nilipata hela ya madafu laki 2 ya bwerere kweli......
nilikutafuta simu zako zote hupatikani, itabidi unipe namba nyingine sio zile za makontena.
leo tena najua ntapata mijihela....loh. ile ya siku ile naweka deni. (samahani kwa kuchakachua thread yako leo....teh teh teh)


So unajua I have the power ya kukusababishia ukose mshiko? Mbona sasa hulipii kodi? Lol

On a serious note kama upo serious kweli, then I am humbled. Mungu azidi kukufanikisha na wewe uzidi kuwakumbuka watu wako wa karibu kwa kuwajali. Hii thread ilipofika uchakachuzi sunnah!
 
Dada mkubwa AshaDii heshima sana kwako.

Pamoja na kwamba nimechelewa sana kuitembelea thread hii lakini kadri nilivyosoma baadhi ya comments na maswali ya wadau wenzangu nimeridhika kabisa kwamba umepata maswali ya kutosha ya kumuuliza kamanda Zitto.

Pia nikupongeze sana kwa uamuzi huu wa kumleta JF ili aweze kupata nafasi ya kujibu maswali ya wadau ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakizungumza mengi juu yake bila majibu ya kina toka kwake.

Tafdahali sana utakapopanga siku ya kumfanyia interview utufahamishe mapema ili wale tunaopata network "juu ya miti" tujiandae.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom