Teh naona kweli unalipigia promo hili.Inategemea na mzazi na mzazi kua na wasiwasi kwa kua wazaz hawalingani kuna wazazi waelewa
na kuna wazazi ambao kidogo ni watata mana huwez kuingilia mapenz ya mtt wako kwa kuwa huwez jua walikokutana na walivoishi mpaka akaja kumleta kwako na kumtambulisha
ahhhaha tongozo ni tongozo la mtaani au la pm ni vile vileTeh naona kweli unalipigia promo hili.
Maswali yangu yamebaki machache soon nitawakaribisha wadau nao wakuulize machache.
Najua pm huwa unafuatwa saana na kwa umri wako umeshatongozwa pia sana mitaani.
Kuna tofauti gani kati haya matongozo mawili? Tongozo lipi unakuwa confortable kulipa airtime? [emoji4][emoji4]
mwisho halafu wadau waongeze maswaliahhhaha tongozo ni tongozo la mtaani au la pm ni vile vile
sipati usumbufu sna pm sbbu siitumii nimeifunga
Tehe tehe tehe usihofu meno yako tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] usimalize bakiza Na yawageni
[emoji120] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nafika hpo sasahiviTehe tehe tehe usihofu meno yako tu
Kiukwel mi naaamin online dating kwa sababu zangu binafsi ila watu tunatofautiana kuna ambao wanatafuta wachumba online kwa masilahi yao binafsiKama umeshindwa hilo basi jibu hili kwa ufasaha.
Kuna uhusiano gani kati ya umri mkubwa na watafuta wachumba online? Je below 25years wao hawaamin online datings? ?
nimekupata mamdogo.Kiukwel mi naaamin online dating kwa sababu zangu binafsi ila watu tunatofautiana kuna ambao wanatafuta wachumba online kwa masilahi yao binafsi
na kuna ambao wako ki fake na ambao wako real na hii ya umri siwez isemea san kwa kuwa inategemea kuna ambao wanapenda umri mkubwa na kuna ambao wanapend kulingana na kuna ambao wanapend wadogo kwahiyo kwenye umri siwezi kusemea sana
Kwa kwel siwezi mshauri mtu ajipange vipi kwakuwa mapenzi huwa yanatokegaaa tu unaweza anza kimzaaa na bdae ukakuta mnafika mbali ki malengo na kuoanamwisho halafu wadau waongeze maswali
Unamshauri nini anayehitaji mchumba kupitia hii njia ategemee kukutana na nini na ajipangeje?
Na wale waliopo kwenye hatua ya uchumba ulioanzia mtandaoni?
bamdogo unanipa zawadi gani eti [emoji134] ivuga aliulizanimekupata mamdogo.
Nisiwe na choyo naomba niwakaribishe wanaotufuatilia japo wakuulize maswali mawili matatu then ukalale mamdogo.
I real appreciate and love you.
Hii para ya mwisho hii...!!Lakini pia kuna makanisa yanapinga mahusiano ya namna hii.(tutatoka nje ya mada)
Naomba niulize swali chokonozi. Asilimia nyingi za mabandiko ya love connect umri ni 28-30-40 kwenda juu. Mtoe wasiwasi member wa JF kwanini inakuwa hivi kama kweli sio rejects..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]bamdogo unanipa zawadi gani eti [emoji134] ivuga aliuliza
Nilitafuta mtu ambaye yupo na relationship ya hivi kushiriki hapa walikimbia nikaona isiwe kesiDaby mada ni nzuri lakini sample specimen sio sahihi kabisaa
mtu ameshakiri hajawahi kuwa na mahusiano ya mtandaoni hana experience majibu yatakuwa invalid kabisaa
bora ungemwita Joanna au Mamdow au wengine walioomba wapenzi humu washare
otherwise inteview yako inakuwa feki tu isiyo na maana!!
Wapo wengi hujafanya tafiti vizuri.Kama umeshindwa hilo basi jibu hili kwa ufasaha.
Kuna uhusiano gani kati ya umri mkubwa na watafuta wachumba online? Je below 25years wao hawaamin online datings? ?
Kabisa tungepata couple ya ukweli ya humu humuDaby mada ni nzuri lakini sample specimen sio sahihi kabisaa
mtu ameshakiri hajawahi kuwa na mahusiano ya mtandaoni hana experience majibu yatakuwa invalid kabisaa
bora ungemwita Joanna au Mamdow au wengine walioomba wapenzi humu washare
otherwise inteview yako inakuwa feki tu isiyo na maana!!