shida ya kwetu uongo mwingi na usanii wazungu wako waziKwa wenzetu ng'ambo online dating ni jambo la kawaida sana ila kwetu linachukuliwa kwa namna tofauti..shida unafikiri ni nini?
Wew, Unauthubutu wa kumwambia mzazi wako baba nimekutana na Daby Facebook,JF, hivyo tunataka kuoana!!!
badoShunie umeolewa?
hahaha naweza sanaHaha inaonekana upo vizuri saana.
Nwei : Najua haujaolewa ila una mchuchu si ndiyo eeh!. Ikitokea umeachika unaweza kuwa na mpenzi kwa kupitia njia hii?
Safi, kwa mzazi wako haileti ukakasi kumwambia kuna mpenzi wangu tumekutania Facebook anataka kunioa? Au utaficha ilihali siri mnaijua wawili na mpenzio!shida ya kwetu uongo mwingi na usanii wazungu wako wazi
kuhusu swala la kumwambia mzazi ikifikia unamwambia mlipokutana na mwenzio kama ni fb, kama ni insta au jf
huwezi kumwambia au inategemea na jinsi wazazi wako walivyoSafi, kwa mzazi wako haileti ukakasi kukwambia kuna mpenzi wangu tumekutania Facebook anataka kunioa? Au utaficha ilihali siri mnaijua wawili na mpenzio!
Hapo vidume wa humu lazima watachekelea.hahaha naweza sana
hapana si kweli ila inategemea mwingine hawezi kumface mtu kumwambia ukweli ana kwa anaHapo vidume wa humu lazima watachekelea.
Love connect ya JF imewasaidia wengi saana kupata wenza ila wengi pia wanapinga mahusiano ya namna hii ndiyo maana mtu akianzisha thread watu wanamuuliza mtaani pamekushinda..n.k
Pia, wanadai wanaotafuta wenza mitandaoni ni rejects. Na kweli ukiangalia kuna kaukweli fulani..!unaliongeleaje hili! Unaimani wengi ni rejects!
Domo zege au sijakuelewa. Ok labda nisikulishe maneno. Watu wanaotafuta wenza mitandaoni ni watu wa namna gani maana kanisani wanawake /wanaume wapo mashuleni /mitaani wapo kwanini aje mtandaoni?hapana si kweli ila inategemea mwingine hawezi kumface mtu kumwambia ukweli ana kwa ana
Duuh inategemea Daby ujue nina mfano wa kaka angu alimpata mke wake fb nikaona kwenye familia yetu mpk wakakaa sawa ilichukua mdaKwa hiyo ukisema mmekutana FB hatapewa heshima eeh? Hivyo kukutana na mpenzi mtandaoni sio heshima?
Na imani ndoa yao bado ipo..mungu awafikishe mbali.Duuh inategemea Daby ujue nina mfano wa kaka angu alimpata mke wake fb nikaona kwenye familia yetu mpk wakakaa sawa ilichukua mda
Sio kwamba wanatafuta mitandaon hapana sema uwa inatokeaga watu kukutana mitandaon sio kwamba awajaona mitaaani wala mashulen wala kanisani uwa inatokea tu mda mwngn uenda ukasema Mungu kapend kunikutanisha na uyu mtu mtandaon pia nayo kuna nyingine pia utokeaga mashulen mitaaaani naweza jib vle vle ni mipango ya Mungu muda mwingineDomo zege au sijakuelewa. Ok labda nisikulishe maneno. Watu wanaotafuta wenza mitandaoni ni watu wa namna gani maana kanisani wanawake /wanaume wapo mashuleni /mitaani wapo kwanini aje mtandaoni?
Lakini pia kuna makanisa yanapinga mahusiano ya namna hii.(tutatoka nje ya mada)Sio kwamba wanatafuta mitandaon hapana sema uwa inatokeaga watu kukutana mitandaon sio kwamba awajaona mitaaani wala mashulen wala kanisani uwa inatokea tu mda mwngn uenda ukasema Mungu kapend kunikutanisha na uyu mtu mtandaon pia nayo kuna nyingine pia utokeaga mashulen mitaaaani naweza jib vle vle ni mipango ya Mungu muda mwingine
kila kitu kinatokea kwa sababu
Inategemea na mzazi na mzazi kua na wasiwasi kwa kua wazaz hawalingani kuna wazazi waelewaNa imani ndoa yao bado ipo..mungu awafikishe mbali.
Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kukubaliana na hili. Je, unahisi wapo sahihi kuwa na wasiwasi na haya mapenzi yetu ya mitandaoni?
hahahha Daby bwana eb naomba nisijibu hili swaliLakini pia kuna makanisa yanapinga mahusiano ya namna hii.(tutatoka nje ya mada)
Naomba niulize swali chokonozi. Asilimia nyingi za mabandiko ya love connect umri ni 28-30-40 kwenda juu. Mtoe wasiwasi member wa JF kwanini inakuwa hivi kama kweli sio rejects..?
kweli kabisa linKuna changamoto sana kwenye hilo
Kuna couple walikutana fb wakaoana lakini ni wachache ndio tuliojua ukweli
Ila walikubaliana wadanganye wasiseme walifahamiana fb hasa kwa wazee