Exclusive interview: Online dating(uchumba-ndoa)

Karibuni tumalizie interview tuliyoianza jana. Jana wadau mlizingua kwa comments zisizo za msingi zilizochangia kuivuruga interview kwa leo please and please utani tutataniana baadae na muda wa maswali ya nyongeza ukifika utaruhisiwa kuuliza ila kwasasa kuwa msomaji.

Shunie karibu kwa wakati mwingine mamdogo.
 
Asante bamdogo nimekaribia tena
 
Umekuwa Unayachukuliaje mapenzi ya hao marafiki zako ambao mapenzi yao yalianzia mtandaoni ? Yanafuraha? Yanatofauti gani na yako ambayo hayakuanzia mtandaoni?
 
Kuna rafiki yangu alifanyia research degree ya kwanza
Online dating inapata publicity kwenye nchi zetu kadri muda unavyoenda
 
namshukuru Mungu sana sana tulipo na tulipofikia
Nafikir haujaelewa swali langu.

Kwako Unadhani kustawi kwa penzi kuna uhusiano wowote na hao wapenzi (walipotongozeana) kuna watu wanakutana kwenye vyombo vya usafiri wengine mashuleni ila wengine ni hawa wa mitandaoni..je kustawi kwa penzi kuna uhusiano na sehemu ama namna wapenzi walivyokutana?
 
nilikua sijaelewa
hapana haihusiani sbbu mtu unaekutana nae kwenye bus ndio huyo unakutana nae mtandaoni
kikubwa ni hisia za kweli
 
Mbona shunie tu mkuu,au ndo mpo sebuleni mnatuchora tu
 
nilikua sijaelewa
hapana haihusiani sbbu mtu unaekutana nae kwenye bus ndio huyo unakutana nae mtandaoni
kikubwa ni hisia za kweli
Kwenye basi unamwona mtu...shuleni unamwona mtu kazini unamwona mtu na inaweza kuwa mmezoeana

Sasa mfano hapa JF tunatumia ID fake avatar fake hatuonani physically, inawezekanaje kupata hisia kwa mtu kwa vitu fake?
 
Kwa wenzetu ng'ambo online dating ni jambo la kawaida sana ila kwetu linachukuliwa kwa namna tofauti..shida unafikiri ni nini?

Wew, Unauthubutu wa kumwambia mzazi wako baba nimekutana na Daby Facebook,JF, hivyo tunataka kuoana!!!
 
Kwenye basi unamwona mtu...shuleni unamwona mtu kazini unamwona mtu na inaweza kuwa mmezoeana

Sasa mfano hapa JF tunatumia ID fake avatar fake hatuonani physically, inawezekanaje kupata hisia kwa mtu kwa vitu fake?
kwa hapa jf ni kweli tunatumia I'd fake na avatar
kabla ya kukutana mnaanza kuzoeana pm kwanza kwa kuwasiliana kama mnaweza kutumiana picha mwisho mnaamua kuonana
kwahiyo kwenye kuonana mnaweza endelea na mambo mengine
 
Haha inaonekana upo vizuri saana.

Nwei : Najua haujaolewa ila una mchuchu si ndiyo eeh!. Ikitokea umeachika unaweza kuwa na mpenzi kwa kupitia njia hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…