Sawa.Nilitafuta mtu ambaye yupo na relationship ya hivi kushiriki hapa walikimbia nikaona isiwe kesi
Ila hili nimelichukua bro nitaimprove next time ikitokea interview ingine.
Ooh sorry. Basi itabidi ture-interview mimi na wewe hii mada.Sawa.
Shunie katubania sana....hayuko wazi kivileeee
swali la kwanza tu anamajibu mawili yes na no...khaaa!!
Hafu me ni female.
Nafuatilia uzi huu kwakuwa nina mpenzi kupitia love connect, ni nataka kujifunza changamoto zake.
hahahah ivuga huyoZawadi ipo tutaambiana kule.
Wakuu mwenye swali la nyongeza anaweza kuuliza.
pm nimefunga na Daby pia nilimfungia ila aliniomba nimpm kuna kitu anataka kuongea na mm mzee wa mita 200
hahhahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
Bado sijafika mbaliOoh sorry. Basi itabidi ture-interview mimi na wewe hii mada.
Ni kweli shunie ni mwoga na kanipa wakati mgumu saana. Mwanzoni wakati tunapanga tuanze alishanionya maswali magumu hatojibu.
Kinadumbua ndo msamiati gani[emoji87][emoji3][emoji3] kirengesa kinadumbua sio
Thanks.pm nimefunga na Daby pia nilimfungia ila aliniomba nimpm kuna kitu anataka kuongea na mm mzee wa mita 200
Ha haa niliwashwa tu kukuchokoza DabyHahaha... nimechapia haha..unasoma kwa makini. Kwani kuna mtihani viii?
Kwani ikiwa unakofikiria kuna shida Daby?naomba iwe tu unawashwa vidole jamani isiwe ninakofikiria.
Mod zimeni taa puuliz
Basi wacha niendelee kuwashwa huko unakofikiria maadam mkunaji upoHili swali limekusudia utekaji wa kiroma roma. Waala akaa miara shida.
Sasa hapo ukunaji utakua veeeere[emoji39] [emoji108]Hee na sijakata kucha siku nyingii....