EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......

They say women never go back financially...and men never go back in beauty scales....#Rule of the game

Swali langu kwa lara 1 je umewahi kufikiria maisha yako ya baadae, wakati primetime yako imepita? ukiwa let say mid 40's...ain't nobody gonna pour them $$$ for you!!?? the younger the sweeter...

kwa ufupi whats your rebound plan? you don't wanna get to menopause and you ain't got no free d1cck to hang on...
 
Last edited by a moderator:
^^
Nimewahi kuleta mada hapa kuwa Mbele ya pesa kila goti la mwanamke litapigwa, niliandamwa..sasa at least mmeona hali ilivyo.
..
Benki zetu ziandae FEDHA HALALI KWA MALIPO YA MWANAMKE.
lara 1 si mnafiki ila kuna wanawake wanajifanya saints wakiona noti hizo yatakuwa Yes Sir
^^
 
Last edited by a moderator:
Lara1 smtmz pesa haiwez kukupa faraja ya maisha yako kama unavyofikiri,ikane roho na imani iliyojengela kwko kw maana itakuangamiza coz wanaume hawafati wanawake kwa vle wanashida ya pesa issue ni mapenzi ndipo wanaanza ku incur cost!
 
Swali kwa lara 1

kwa kuchukua reference kwenye tukio la Mushi na Munisi
Je unachukua tahadhari gani?

Yaani umtie Mangi hasara ya 4000$ and no huduma akuache hivi hivi?
 
Last edited by a moderator:
Sometime pesa muhimu msimlaumu lara 1 eti hana feelings aolewe kwa kufata feelings watakula na kuvaa hizo feelings me namuunga mkono money on the table and make it practicle no free Pumbu

yap true that
nakupenda na ujue kutafuta
 
Last edited by a moderator:
achana naye huyo, ye anakalia kujudge watu tu hapa. ye anayoyafanya huko si tunayajua?

Fikiri urakavyo i just love the way she speak her mind am too way deffent from her

Kuna kitu kinaitwa mawazo huru,nilipoishia kuchangia mimi,nyie mnaweza anzia hapo.

Ndiyo raha ya mjadala wa wazi,au nimewaudhi? Kama ni hivyo unatakiwa useme na utakwe radhi,mipasho yakinaa haina nafasi.
 
Kuna kitu kinaitwa mawazo huru,nilipoishia kuchangia mimi,nyie mnaweza anzia hapo.

Ndiyo raha ya mjadala wa wazi,au nimewaudhi? Kama ni hivyo unatakiwa useme na utakwe radhi,mipasho yakinaa haina nafasi.

Ujumbe umefika senkyuu
 
lara1 amekuwa muwazi
na wadada wengi wa mjini wapo hivyo, huo ndo ukweli.

simulaumu lara1.
though we a differ
mi naamini ktk upendo bt haimaniishi nikupende tu huna vission wala hufikirii chochote kuhusu future big No!!!!

nakupenda bt fanya kazi kwa bidii ili utafute na mi naku sapoti(hubby sio BF).
 
sasa namimi nijikite katika mada husika, kuna watu wanaitwa materialist kwa msaada wa kamusi wanasifa hii...
person who is markedly more concerned with material things than with spiritual, intellectual, or cultural values.

Je lara1 nawewe ni materialist kutokana na mjadala?

Natanguliza shukrani,na kukupongeza kwa uwazi uliotukuka katika mahojiano ya mjadala huu.
 
lara1 amekuwa muwazi
na wadada wengi wa mjini wapo hivyo, huo ndo ukweli.

simulaumu lara1.
though we a differ
mi naamini ktk upendo bt haimaniishi nikupende tu huna vission wala hufikirii chochote kuhusu future big No!!!!

nakupenda bt fanya kazi kwa bidii ili utafute na mi naku sapoti(hubby sio BF).

Mimi ningependa kusema swala la kutafuta asiachiwe mwanaume pekee,kwa maana dunia imebadilika kwa misingi kuwa.. Zamani wanaume walikuwa wanategemewa kulisha familia ila sasa wapo wanawake wanaolisha familia au wanasaidiana wote kwa pamoja.

Kwa msingi huo basi nivizuri kama wapenzi mkawa na mawazo ya kutafuta ili muitafute ndoa ili kutoka kwenye Bf/Gf na kwenda katika ndoa.
 
Back
Top Bottom