lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
thank you sana kwa majibu poa....
mbona bi mkubwa tuu?
father wako ndiyo hana time na mambo yako?
Hahahaaa! Mdingi wangu ni mdingi halisi wa kiafrica, ana extended family, majuku kibaooo yanamngoja, afu mwenyewe anahitaji mda akate kilaji, so he was a responible father like kutoa ada na nini, ila mda wa kipuuzi puuzi wa kufatiliamambo yangu au ya mwanae yeyote hanaga kabisaaa! Anarudi saa 5 usiku hapo kawahi kweli kweli. Kama unashida una mwambia anakusaidia, kama kuna sherehe anakuja, hivo anafanya vile vya muhimu tu. Maozea na watoto na malezi ya western style yalimshinda kitamboooo! Maza ndo anacover eneo hilo!