Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 345
Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.
Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako
Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako