Hatimaye nimeachana na mchepuko wangu

Status
Not open for further replies.

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,645
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma

Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na 3yrs na mtoto mmoja

Basi baada ya jitihada kubwa za usuruhishi kushindwa nikaendelea na maisha yangu na ye akaendelea na maisha yake

Me ni mfanyabiashara mkubwa kdg na matawi kadhaa mikoani, nikichofanya nikampatia wife tawi la mkoa alipopo limsaidie kwenye malez ya mtoto sio kila kitu aniombe

2020 nikakutana na mwanachuo mmoja tukaanza kudate
It was fun kwakweli maana yule binti ni mzur sana

Nilimkuta na wanaume kama 50 iv alikuwa anawadanga ila anaolala nao ni kama wanne

Nikapambana nikafanikiwa kuwaondoa wote nikampa sm mpya na line mpya, Ukweli nilimchange kabisa akwa binti bora

Akaacha kwenda club/bar,akaacha pombe akaanza kusali akawa binti mwema kabisa, 2020 mwez wa tisa wakafunga vyuo akaenda home(mpk hapo alikuwa katoka hostel kaja naishi nae kwangu)

Alipofika home ghafla akajikuta mjamzito sekeseke likaanza
Mamama yake na mshua ikwa bonge la issue

Kwa sababu me sikuwa na longo longo nikawasha ndinga na kupitia ndg zangu kadhaa walioko mkoa ule tukaenda kwao

Ikafanywa sherehe nikalipa fain zilizotakiwa nikatambuliwa rasm kama mkwe, Kuanzia hapo responsibility za yule binti zikawa zangu 100%

Aliporud dar sababu ya mimba akakataa kukaa kwangu akaomba nimpangie so nikatafuta apartment nzur nikampangia, Nikawa nae karb 100%

Shida ile mimba ikamtesa sana na akawa ananichukia sana, Aisee ilimtesa kwa kiwango kikubwa sana akakonda na kuisha

Kumbe wake huo sababu ya mimba kunichukia akawa amerudiana na ex wake mmoja mjeda anamfariji nikitokea wanaacha kuwasiliana

Kwa ushawish wa yule ex wake akamwza daawa za kutoa mimba ikiwa kubwa ya miez minne
Me nimepigiwa na mamake yuko hoi nikampeleka hosp akahuduniwa vzr akapona

Akadai alitoa sababu mimba ilikuwa inamtesa kumbe issue walipaga na ex
2021 ikaanza nakumbuka siku ya bday yake ilikuwa Dec nikampeleka Zenji tukaenjoy Verde nikampa zawad ya macho matatu kama suprise tu then tukarud dar(kumbe tumerud dar me nikiienda kwangu ye anatoroka saa sita usiku jamaa anamfata anenda kula mzg(haya nilijua badae

Bahati mbaya Feb tukasex siku za hatar akameza P2
Baada ya kumeza P2 akaingia Period bila kukoma

Mwez wa tatu mzima tunahangaika mahosp mtoto wa watu hapon na hawaon tatizo

Hosp zote dar nikamaliza dogo tatizo halionekan wanatoa tu dawa za kustopisha dam nazo zinasaidia kdg then tatizo linarud, Nilitumia kila hela yangu apone ikashindikana

Mwez wa tano mamake akamuomba aende huko kwao akaenda
Alipofika mamake akampeleka hosp sijui ya Masista akapimwa akasema hana shida

Wakat wanaondoka kuna dokta aliwaita akaongea naoo then akamwambia mama amejua tatizo la mwanae anapaswa afanyiwe upasuaji haraka otherwise atakufa(kwa maelezo ya mamamkwe )

Mama akanipigia inahitajika 500k na hana hela nikafanya muamala mtoto akafanyiwa upasuaji

Sasa huku mjini madaktar naojuana nao na niliopita kwao wakawa wanashangaa iweje wao wasione tatizo kwenye vipimo

Yule mama baada ya binti kutoka hosp akaniambia dogo sijui alikuwa na mimba nje ya kizazi ilikuwa haikui bali inaporomoka ndo maana ikawa inatoa dam so wamemfanyia wametoa now yuko salama

Aisee madaktar wa dar wote wakagoma ni uongo amna kitu kama hicho mpk ex wangu mmoja ni specialit aghakan akapinga na kunambia nachezewa mchezo
Me nikauchuna kikubwa kapona

Binti akarud aka kovu la upasuaji kweli kwenye tumbo karib na k
Nikauchuna maisha yakaendelea na kweli akapona ila akawa anatokwa na uchafu sana down

Mwe wa saba siku moja nimekaa kwake mchana nikasikia hodi kwenda kufungua yule ex wake mjeda akaingia direct ndani

Dem akatoka na kanga wakakutana sebulen me nimeganda sielew kitu
Jamaa akaanza kumpiga makofi anamuuliza why hapokei sm zake?

Nilichoka yaan nilipigwa butwaa
Jamaa akaondoka me nimeganda sielew haya naona ka magen
Akili imenirudia jamaa kaondoka watu wamejaa pale ndani

Nikataka nimtafute nipambane nae normal nikaona italeta shida
Kumuuliza binti akaniambia jamaa anamlazimisha warudiane ye hatak ndo maana kaja kumpiga

Me nikapata moto nikapigia wakubwa kadhaa jeshin naojuana nao nikawapa picha basi wakanishaur cha kufanya ili nimmalize jamaa

Nikashauriwa kafunguen kesi kwanza kuwa mwanajeshi amekuja akampiga raia mtaan then kupitia ile kesi wao kama wakubwa wake watadeal nae

Dem yuko na mm 100% anasuport jamaa afukuzwe
Nikampigia jamaangu mwanasheria nikampa picha na ye ana ma majir jeshin akawapigia tukapata baraka jamaa inakula kwake

Kule sijui nani alimtonya jamaa akaanza kunipigia analia anaomba msamaha yaishe, Ndg zake wanapiga mpk mamake analia nimsamehe mtoto wake atapoteza kazi
Usiku saa nne tushakamilisha kufungua kesi na detail zangu zote mwanasheria yule akanipigia na kunambia ana wasiwasi na dem wangu haiwezekani mtu aje ampige bure tu

Wakat narud na dem kwake nikapokea sm no ngen(alikuwa rafik yake na huyu dem wangu)
Rafik yake huyu dem wangu huwa anamkandia na kumuongelea vibaya sana always

Yule dada ndo akanifungua macho kuwa walipoachana hawa ye yule mwanajeshi alimtaka so wakaanza mahusiano

Dem wangu alipojua ex wake kamchukua rafik yake hakufurahia akamind akaanza kurud kwa jamaa kwa fujo na kwa jamaa huwa anaenda mara kwa mara hata mchana kwa kushtukiza ili amkute yule dem afanye fujo

Nilichoka! Ikabid nimpigie jamaa mwanajeshi kumsikiliza ndo kunipa mchongo mzima

Tangu oct wameanza kuwasiliana na dem ndo alirujisha majeshi sababu ya wivu wa rafik yake kudate nae
Alinieleza mengi sana dem ananikandia kwa jamaa kuwa hapend maisha yetu basi tu namtunza anataka awe na mtu anayempeleka kunywa pombe na club yaan mambo mengi sana

Nikaenda home na dem nikambana sana akakiri na kuonba radhi sana akilia, Mamake akapiga analia anaomba nisamehe binti kajifunza
Jamaa akanipigia akanambia nimsahe dem na hatakaa asogee karb yetu tena milele

***** nitaimalizia muda si mrefu hii haina mambo za itaendelea hapana

NB: Najua watu wengi sana wataelewa me ninan na hii story wataunganisha dot watanijua but i dont care naweka waz moyo upumue
 
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na 3yrs na mtoto mmoja

Basi baada ya jitihada kubwa za usuruhishi kushindwa nikaendelea na maisha yangu na ye akaendelea na maisha yake
Me ni mfanyabiashara mkubwa kdg na matawi kadhaa mikoan nikichofanya nikampatia wife tawi la mkoa alipopo limsaidie kwenye malez ya mtoto sio kila kitu aniombe

2020 nikakutana na mwanachuo mmoja tukaanza kudate
It was fun kwakweli maana yule binti ni mzur sana
Nilimkuta na wanaume kama 50 iv alikuwa anawadanga ila anaolala nao ni kama wanne
Nikapambana nikafanikiwa kuwaondoa wote nikampa sm mpya na line mpya
Ukweli nilimchange kabisa akwa binti bora
Akaacha kwenda club/bar,akaacha pombe akaanza kusali akawa binti mwema kabisa
2020 mwez wa tisa wakafunga vyuo akaenda home(mpk hapo alikuwa katoka hostel kaja naishi nae kwangu)
Alipofika home ghafla akajikuta mjamzito sekeseke likaanza
Mamama yake na mshua ikwa bonge la issue

Kwa sababu me sikuwa na longo longo nikawasha ndinga na kupitia ndg zangu kadhaa walioko mkoa ule tukaenda kwao
Ikafanywa sherehe nikalipa fain zilizotakiwa nikatambuliwa rasm kama mkwe
Kuanzia hapo responsibility za yule binti zikawa zangu 100%

Aliporud dar sababu ya mimba akakataa kukaa kwangu akaomba nimpangie so nikatafuta apartment nzur nikampangia
Nikawa nae karb 100%
Shida ile mimba ikamtesa sana na akawa ananichukia sana
Aisee ilimtesa kwa kiwango kikubwa sana akakonda na kuisha
Kumbe wakat huo sababu ya mimba kunichukia akawa amerudiana na ex wake mmoja mjeda anamfariji nikitokea wanaacha kuwasiliana

Kwa ushawish wa yule ex wake akamwza daawa za kutoa mimba ikiwa kubwa ya miez minne
Me nimepigiwa na mamake yuko hoi nikampeleka hosp akahuduniwa vzr akapona
Akadai alitoa sababu mimba ilikuwa inamtesa kumbe issue walipaga na ex
2021 ikaanza nakumbuka siku ya bday yake ilikuwa Dec nikampeleka Zenji tukaenjoy Verde nikampa zawad ya macho matatu kama suprise tu then tukarud dar(kumbe tumerud dar me nikiienda kwangu ye anatoroka saa sita usiku jamaa anamfata anenda kula mzg(haya nilijua badae

Bahati mbaya Feb tukasex siku za hatar akameza P2
Baada ya kumeza P2 akaingia Period bila kukoma
Mwez wa tatu mzima tunahangaika mahosp mtoto wa watu hapon na hawaon tatizo
Hosp zote dar nikamaliza dogo tatizo halionekan wanatoa tu dawa za kustopisha dam nazo zinasaidia kdg then tatizo linarud
Nilitumia kila hela yangu apone ikashindikana

Mwez wa tano mamake akamuomba aende huko kwao akaenda
Alipofika mamake akampeleka hosp sijui ya Masista akapimwa akasema hana shida
Wakat wanaondoka kuna dokta aliwaita akaongea naoo then akamwambia mama amejua tatizo la mwanae anapaswa afanyiwe upasuaji haraka otherwise atakufa(kwa maelezo ya mamamkwe )
Mama akanipigia inahitajika 500k na hana hela nikafanya muamala mtoto akafanyiwa upasuaji

Sasa huku mjini madaktar naojuana nao na niliopita kwao wakawa wanashangaa iweje wao wasione tatizo kwenye vipimo
Yule mama baada ya binti kutoka hosp akaniambia dogo sijui alikuwa na mimba nje ya kizazi ilikuwa haikui bali inaporomoka ndo maana ikawa inatoa dam so wamemfanyia wametoa now yuko salama

Aisee madaktar wa dar wote wakagoma ni uongo amna kitu kama hicho mpk ex wangu mmoja ni specialit aghakan akapinga na kunambia nachezewa mchezo
Me nikauchuna kikubwa kapona
Binti akarud aka kovu la upasuaji kweli kwenye tumbo karib na k
Nikauchuna maisha yakaendelea na kweli akapona ila akawa anatokwa na uchafu sana down

Mwe wa saba siku moja nimekaa kwake mchana nikasikia hodi kwenda kufungua yule ex wake mjeda akaingia direct ndani
Dem akatoka na kanga wakakutana sebulen me nimeganda sielew kitu
Jamaa akaanza kumpiga makofi anamuuliza why hapokei sm zake?

Nilichoka yaan nilipigwa butwaa
Jamaa akaondoka me nimeganda sielew haya naona ka magen
Akili imenirudia jamaa kaondoka watu wamejaa pale ndani
Nikataka nimtafute nipambane nae normal nikaona italeta shida
Kumuuliza binti akaniambia jamaa anamlazimisha warudiane ye hatak ndo maana kaja kumpiga

Me nikapata moto nikapigia wakubwa kadhaa jeshin naojuana nao nikawapa picha basi wakanishaur cha kufanya ili nimmalize jamaa
Nikashauriwa kafunguen kesi kwanza kuwa mwanajeshi amekuja akampiga raia mtaan then kupitia ile kesi wao kama wakubwa wake watadeal nae

Dem yuko na mm 100% anasuport jamaa afukuzwe
Nikampigia jamaangu mwanasheria nikampa picha na ye ana ma majir jeshin akawapigia tukapata baraka jamaa inakula kwake
Kule sijui nani alimtonya jamaa akaanza kunipigia analia anaomba msamaha yaishe
Ndg zake wanapiga mpk mamake analia nimsamehe mtoto wake atapoteza kazi
Usiku saa nne tushakamilisha kufungua kesi na detail zangu zote mwanasheria yule akanipigia na kunambia ana wasiwasi na dem wangu haiwezekani mtu aje ampige bure tu

Wakat narud na dem kwake nikapokea sm no ngen(alikuwa rafik yake na huyu dem wangu)
Rafik yake huyu dem wangu huwa anamkandia na kumuongelea vibaya sana always

Yule dada ndo akanifungua macho kuwa walipoachana hawa ye yule mwanajeshi alimtaka so wakaanza mahusiano
Dem wangu alipojua ex wake kamchukua rafik yake hakufurahia akamind akaanza kurud kwa jamaa kwa fujo na kwa jamaa huwa anaenda mara kwa mara hata mchana kwa kushtukiza ili amkute yule dem afanye fujo

Nilichoka! Ikabid nimpigie jamaa mwanajeshi kumsikiliza ndo kunipa mchongo mzima
Tangu oct wameanza kuwasiliana na dem ndo alirujisha majeshi sababu ya wivu wa rafik yake kudate nae
Alinieleza mengi sana dem ananikandia kwa jamaa kuwa hapend maisha yetu basi tu namtunza anataka awe na mtu anayempeleka kunywa pombe na club yaan mambo mengi sana

Nikaenda home na dem nikambana sana akakiri na kuonba radhi sana akilia
Mamake akapiga analia anaomba nisamehe binti kajifunza

Mdogo wangu bado una utoto.Hapana.

Ni uvulana.Jitahidi uliyopitia yawe somo.

Usirudie ujinga kwa uungwana tunaita makosa.
 
Hadi sa hv ujaleta muendelezo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
G mnyamaa
 
Usiombe yakukute
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom