ha ha ha ha asante kwa kucare my dear
hapo nilikua nampa heshima VONR kwa point yake:hail:
Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.
Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako

Wivu huoni lakini roho inauma. Ulimwachia nini?
Umegeuka hadithi ya Sungura na Zabibu, alipoona hawezi kuzipata akasema 'sizitaki zile mbovu'
Pole sana yeye amemchagua mwenyewe bila ya kulazimishwa.
Yani tangu tulipoachana 2005 sijawahi kum-miss wala nini, yani hata ikitokea tumeonana ni hi hi hakuna zaidi. Lakini saa hizi ninapofikiria kuwa yuko kwenye honeymoon na yule mrugaruga niliyemwona juzi, no, hapana, haikubaliki aise!
To the disadvantage of the dear sister? Yaani ghafla kageuka kuwa dada tena?
Jamani watu hamweshi kushangaza.
Mtu B; Uliona nini kilichokufanya udhani yule jamaa hamfai? Kwani wewe una nini kudhani wewe tu ndo unamfaa? - Wivu. Unadhani walikutana siku hiyo?. Kama ulikuwa hujui; Dem ndo alikuwacha, na jamaa ndo alisababisha. Imekula kwako.
Sio demu wako tena ni mke wa mtu!!Unajishtukia wewe kama sio wivu!Kama kweli huyo mshkaji labda sio mzuri kama wewe au hana pesa kama wewe,kinakuuma kwamba iwe vipi achaguliwe yeye!!Unachojishtukia ni kwamba mshkaji ana kitu ambacho wewe huna...pole labda anampa gemu ya ukweli na wewe ulikua unapapasa papasa tu!
Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa!!
Endelea kujipa moyo kwamba wewe ni bora zaidi ila unajua sana sivyo!Ndio maana unang'ang'ania mwenzio sio bora wakati AMESHATHIBITISHWA!Mhusika mwenyewe hajawahi kunipa mpasho wa hivi, so naamini hii ni speculation yako tu.
Love is blind bana,huwezi jua jamaa anampa nini,mabrzamen hawajui kukonga nyoyo za watu wao wanaleta mapenzi ya kwenye Tamthilia..Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!
We nawe acha ku-generalize mambo!Kakudanganya nani kila mwanamke anapenda aolewe?Kila mwanamke anapenda aolewe. Ulipomwacha wewe na alipoona muda unakwenda akawa desperate. Jamaa alipojitokeza tu akamrukia, bila kujali kama anamfaa au sivyo. Alichotaka ni kuolewa kwanza mengine baadaye. ndiyo kawaida ya wanawake baada ya kusota muda mrefu bila kuolewa.
Mimi naamini huo si wivu ila unamwonea huruma huyo ex- wako
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9 December. Sasa sijui ni kwanini nilipomwona yule mchumba wake alhamisi ile, nikaanza kuhisi kwenye nafsi yangu kwamba yule jamaa hamfai, yaani kwa ninavyomfahamu yule dada ile siyo type yake kabisa! Dada kakosea kuchagua bana, no! Siwezi kueleza hii hali, naamini siyo wivu but no, siyo yule kabisa bana!