Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Acheni hizo nyie mnaotoa ushauri eti arudishe vitu. Kwa hiyo binti wa watu awe ametumika bure. Ebo!! Halafu wewe kadadaa mwambie huyo ex wako kuwa mm Kamanda Kazi ni bro wako. Kama yeye yuko karibu na polisi basi wewe uko karibu Kamanda mpiganaji.
mbona walitumiana wote, kama angekuwa hataki kutumika si angejifanya mwenyewe
 
Rudisha vitu vya watu wewe, kakutumia kwani we hukuwa unapata utamu

Na wewe x-wangu kama uko Jf ujiandae, urudishe vyoote
 
Rudisha vitu vya watu wewe, kakutumia kwani we hukuwa unapata utamu

Na wewe x-wangu kama uko Jf ujiandae, urudishe vyoote

Vitu vya watu vinakuwaga kwa mtu mwingine na kwa jina jingine?????!!!
Kamkuta mdada mwanjomwanjo masikini,mbona angejua kuwa mapenzi chuo kikuu
 
namuunga mkono utupu,he has a point there! Mademu wa siku hamuwajui nyie?

Dah Mshikaji wamempga BAN!
Hii sio poa kabisa hawa mods hawatendi haki hata kidogo. Mbona kuna members kibao wamejibu mbofumbofu!
 
Hizi habari tungesikia na upande wa pili. Unaweza kuwa umetumia kigezo ana mke ili hoja yako ipate nguvu. Baadhi ya viumbe nyie siyo wa kuamini.
 
hapana ingekuwa hivyo nisingeweza muacha NINA KAZI KIDOGO NAWEZA KUENDESHA KIDOGO MAISHA

Kwani umemfanya nn hasa huyu mzee?
inaonyesha unapenda sana kulipiwa eee. Dada sio kila mwanaume anajua kuhonga mrudishie vitu vyake, kumbe hata sio vya gharama kihivyo km kodi yenyewe ilikuwa inamshinda.
 
Kakutumia au mmetumiana? nyie mademu wehu sana kudadadeki rudisha vitu vya mshikaji vyote! ulivyokuwa anakuletea na kusema ooooh! babe asaaante! i lv u so much n.k ulijua alitoa kamasi kuvipata?? rudisha ww sio mali yako hiyo mtafte mwingine umshobokee atakununulia vingine!
mademu wehu sana ndo maana mi huwagonga mara moko tu akinishobokea tena bila salaliii, akigutuka nasepa!!!

mbona umepanick sana???????????????
 
hakunipa gari anadai pesa zake

Pesa ndio zimeandikwa jina lake?Umesema katika vitu alivyokupatia kimoja ndio kina jina lake!Ni kipi hicho?

Binafsi nachukia hii tabia utoto ya kudaiana vitu pindi mnapoachana!Ni upumbavu na ujinga sana kwa kweli!

Ila hapa tumeona upande mmoja wa shilingi,inawezekana bi dada ndio umefumaniwa unatuletea stori zako hapa,hela na gari atoe mtu mwingine kula ale mtu mwingine!

Siamini kwa mtu mwenye mke awe na ujasiri wa kukutumia msg za vitisho n.k,wakati anatambua fika mkewe akigundua itakuwa msala.

Ushauri wangu,hivo vitu vyake vilivyopo mrudishie,iwe gari iwe nyumba chochote,wewe rudisha,kuepusha shari!
 
Kakutumia au mmetumiana? nyie mademu wehu sana kudadadeki rudisha vitu vya mshikaji vyote! ulivyokuwa anakuletea na kusema ooooh! babe asaaante! i lv u so much n.k ulijua alitoa kamasi kuvipata?? rudisha ww sio mali yako hiyo mtafte mwingine umshobokee atakununulia vingine!
mademu wehu sana ndo maana mi huwagonga mara moko tu akinishobokea tena bila salaliii, akigutuka nasepa!!!

kwani jamaa nae alivyokuwa anatoa si alikuwa anatoa kwa mapenzi.....inaonekana nawe uko km huyo jamaa wa kizamani aliejifanya anahela ili apewe penzi.... kumbe kapuku tu km wewe......
 
Ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadhi ya vitu alivyoninunulia,kanitumia mesegi za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakini ndo kama imekua mwiba kila saa sms na simu za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje?

https://www.jamiiforums.com/love-connect/577454-natafuta-mchumba-wa-kiume.html

Hujatulia huku waume za watu huku unataka mchumba
 
Back
Top Bottom