Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Dada kwa hayo umejishushia thamani na unaonekana kabisa u radhi kufanya lolote lile ilemradi vitu ulivyopewa usirudishe.

Dada yangu hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa na amani ya nafsi/roho. Na ili kuipata amani ya nafsi inatakiwa kuridhika na ulichonacho, uwe mtu wa kukubali kuachia baadhi ya mambo ambayo yanakukwaza maishani na kujipanga kivingine.

Kitendo cha kusema hutaki kumrejeshea kwa kuwa amekutumia ni kujidhalilisha wewe binafsi, kwani ulienda kwake na kuanzisha mahusiano kwa nia ya kupata faida nyingine ya mali tofauti na Love issues.? Ni kwa kauli kama hizi zinapelekea hata wavulana wadogo wawadharau wanawake na kuona wote ni walewale ya kuwa ni mal.aya.

Leo hii hutaki kumrudishia stahiki yake inayoonekana alikupatia, ila tambua sisi binadamu ni watu wa ajabu sana, kuna baadhi yetu wapo radhi kwa lolote kufanikisha alitakalo, siombei huyo awe mmoja wa hao. Kwani kukomaa kwako kutorudisha inaweza kuja kukucost usivyodhania sasa ama inaweza kuja kukunufaisha. Nakuacha na case study mbili ambazo si za muda mrefu.

1. Ufoo saro.
2. Mushi - Ilala.
Hahaha
 
Hata mimi namgongea like kubwa sana maana hawa dada zetu hawana maana kabisa nna mfano hai kabisa ya jamaa yangu mmoja nilikuwa nafanya nae kazi alimsomesha mchumba wake hadi chuo na alijinyima sana nusu ya mshahara wake anautuma kwa huyo mchumba wake chuoni sasa alikuwa anawasiliana na huyo mchumba wake ambaye alikuwa anatumia simu ya mtu ya kuazima kumbe yule aliekuwa anamuazima ile simu alikuwa bwana wa mchumba wa huyo rafiki yangu, at the end of the day yule msichana akampigia simu mchumba wake ambaye ni rafiki yangu kuwa anataka kuolewa na mtu mwingine sie yeye, jamaa alichanganyikiwa kabisa tukamshauri amwachie Mungu ni kweli aliolewa lkn the end of the day kumbe yule jamaa aliyemuoa hakuwa na mbele wala nyuma alikuwa tapeli tu wa town, ikabidi yule msichana aje kwetu mashemeji zake wa zamani kwa magoti ili tumuombee msamaha.
Jamaa alikuja kumuoa?
 
Duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom