Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Hebu kajichukulie RB mdogo wangu in case chochote kikikupata msala ni wake, haipogo ya hivyo eti muachene halafu urudishe vitu alivyokununulia, yeye atarudisha nini kwa muda wote aliokudanganya kwamba hana mke na atakuoa? Pengine ulikutana na mwanaume single na akaonesha nia ya dhati ya kutaka kukuoa lakini ukamkataa kwa ajili yake, hebu aende zake huko, atoe hapa mapenzi ya kizamani

hakunipa gari anadai pesa zake
 
vitu nilimwambia aje achukue tatizo ananiambia anataka pesa zake tangu alivyonijua na gharama za huduma yoyote aliyonifanya ndio maana nikaomba msaada
Hizo pesa kuna mahali mlipokuwa mkiandika kila mnapopeana? Je ni pesa kiasi gani alizotumia kwako hadi mnaachana? Angalia huyo asije akawa anataka uendelee kumpa huduma ya papuchi kwa kisingizio cha pesa.
 
mkuu, kama umeamua wewe kumuita mwanamke mwenye shida ya kunyanyaswa mala.ya ......that's you
msafara wa mamba kenge hawakosi

chekecha akili kidogo mkuu! Huyu dada hana shida! Si amesema ana kazi yake inayomuingizia kipato? Sasa analalamika katumika bure kivipi kama sio umala.ya huo?
 
Dah Mshikaji wamempga BAN!
Hii sio poa kabisa hawa mods hawatendi haki hata kidogo. Mbona kuna members kibao wamejibu mbofumbofu!

mmh! Ya kweli hayo mkuu? Ngoja na mimi ni slow down,nahisi nimeanza kwenda kasi sana,
 
Wewe usirudishe.....tena mwambie kukutumia alikokutumia hayo ndo malipo yenyewe,

af dada huyo mwanaume mawazo wa kudai vitu ulimpata wapi?......watoto ndo wanadai lakini watu wazima hakunaga hayo
 
Mwambie na yeye alirudishe alivochukua kwako! Afu mpuuzi huyo alikua anatoa akitegemea nin labda?!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
My dear mpe tu vitu vyake isiwe tabu. Huyo ujue ana hasira kutokana na mazingira ya kuachana naye. Kama alikuacha kwa kuwa hukua muaminifu ndio maana anakudai vitu vyake. Sisemi ni sahihi afanyavyo but I understand. Unajua wanaume tunajua kupenda kwa dhati lakini siku mwanaume akiamua sasa basi ujue ndio imetoka. Women forgive but not forget. Men forget but very seldom forgive. Kwa hiyo nakushauri dear umpe tu vitu vyake ili aache kukusumbua. Usije ukadhurika bure kwa vitu vya ki-dunia. There is more to life than material things.
 
Ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadhi ya vitu alivyoninunulia,kanitumia mesegi za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakini ndo kama imekua mwiba kila saa sms na simu za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje?

Ufoo saro................
 
Ukiacha issue ya kukuonea huruma kwa uliyopitia mimi huwa nashangaa sana hiki kizazi cha sasa!
Hakina integrity kabisa yani! Tumezidi kupenda vitu vya burebure ni kama tumepoteza utu wetu. Watu wa zamani hawakuwa hivi. Msichana hujaolewa unademand na kuhongwa hongwa vitu. Mwanaume mwenyewe hata humjui vizuri ndo maana umekuja kukuta ni mume wa mtu. Kwa kweli dada yangu hapo umezidi. Halafu bila hata aibu unataka kung'ang'ania na vitu. We ungekuwa mstaarabu si ungeolewa na divorce ingekupa uhakika wa hivyo vitu?

Without hata chembe ya shame unasema kakutumia! Acha kudhalilisha wanawake!
We utumike umekuwa chombo? Wakati mnafanya hukusikia raha? Halafu usipofikishwa unakuja kulalamika wakati dili lako ni akutumie ili udeserve hivyo vitu.

Sasa dada yangu unatofauti gani na malaya wanaojiuza barabarani?
Kwa sababu labda ukiniuliza mimi ntaona kuwa tofauti ni kuwa wewe ni expensive!

Rudisha vitu vya watu na ukatafute vyako ili uone uchungu wa mtu kung'ang'ania vitu vyako PERIOD!!
 
Nimefuatilia maoni na kama we mmasai ungekua siriaz usingeendelea maana nshaona solution. Una lako unatafuta kwa kuweka post hii na si ushauri.
 
Mimi nilimwambiaga ex wangu anilirudishie akili zangu maana nilikuwa nimedata kwake.Bado huo mtihani anao!!!

The king.
 
Umenikumbusha x-bf wa mie mmoja. Yaani alinidai hereni za dhahabu alizonitunuku wakati wapenzi haina mfano, matusi ya nguoni kupindukia na mbaya zaidi akanitishia kunitwanga. Mweeh! Yule mkaka sitamsahau, hatuongei mpaka leo na sidhani itakuja kutokea.
Vitu nilivyomfanyia hata robo ya gharama ya hereni haikuingia ndani. Ubinadamu kazi ndugu yangu!!!
 
==> VERY Very Good...well said....

...mm namshauri huyo mwanaume ANUNUE TU BASTOLA....AMALIZE KAZI HAPO.....HUYO DADA NI MWIZI....HANA TOFAUTI NA JAMBAZI....ASIPOTOA VITU LIWALO NA LIWE....

...hawa wanawake wa siku hizi...bila kuwa ufo saro HAWAELEWI...ni zaidi ya malaya... unaweza kuta jamaaa kajipinda miaka kwa miaka...si ajabu hata masomo kamlipia... kamtunza kila kitu....NA KAMA NI STAREHE WOTE WANAPATA SAWA...MTOM...JI NA MTOMB...WA....hakuna kisingizio hapo...

+×÷==% dawa ni kum ufo saro tu...nina zake masai weee....ukafie mbali huko.... ulikuwa unakula vitamu tu uliona eeehh...jua vichungu sasa vumilia....nina zako...

Ukiacha issue ya kukuonea huruma kwa uliyopitia mimi huwa nashangaa sana hiki kizazi cha sasa!
Hakina integrity kabisa yani! Tumezidi kupenda vitu vya burebure ni kama tumepoteza utu wetu. Watu wa zamani hawakuwa hivi. Msichana hujaolewa unademand na kuhongwa hongwa vitu. Mwanaume mwenyewe hata humjui vizuri ndo maana umekuja kukuta ni mume wa mtu. Kwa kweli dada yangu hapo umezidi. Halafu bila hata aibu unataka kung'ang'ania na vitu. We ungekuwa mstaarabu si ungeolewa na divorce ingekupa uhakika wa hivyo vitu?

Without hata chembe ya shame unasema kakutumia! Acha kudhalilisha wanawake!
We utumike umekuwa chombo? Wakati mnafanya hukusikia raha? Halafu usipofikishwa unakuja kulalamika wakati dili lako ni akutumie ili udeserve hivyo vitu.

Sasa dada yangu unatofauti gani na malaya wanaojiuza barabarani?
Kwa sababu labda ukiniuliza mimi ntaona kuwa tofauti ni kuwa wewe ni expensive!

Rudisha vitu vya watu na ukatafute vyako ili uone uchungu wa mtu kung'ang'ania vitu vyako PERIOD!!
 
...ww mshauri ujinga...kikiwaka utakuja msaidia...
...si vilikuwa vitamu...sasa zamu ya kuwa vichungu..
...atakoma....kum ufo saro tu....nina zake

Wewe usirudishe.....tena mwambie kukutumia alikokutumia hayo ndo malipo yenyewe,

af dada huyo mwanaume mawazo wa kudai vitu ulimpata wapi?......watoto ndo wanadai lakini watu wazima hakunaga hayo
 
safi sana....huyo jamaa ni mfano wa kuigwa..
hela zake umezifaidi sasa ni payback time..l

10000000000000%..... wanawake wengine hadi HARUFU YA DAMU AKIONA NDIO ANAELEWA....ni kumpa malipo makali ya mbwa mwizi....
 
na yeye akurudishie alivyokuwa anakushika shika na kukufanya,... hilo lijianaume jinga sana mwambie huna au kama unavyo just mpe achana nae huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom