Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Kakuhudumia shida zimeisha umemmwaga! Alitakiwa awe kashakutoa reception, na meno kadhaa
 
sina mtu yoyote ninae ishi nae n wala siwezi kumpata ni mtu mwenye kufahamiana na polis

kumbe anadai pesa..hana uwezo wa kukushinda mbele ya sheria kwani 1.hakuna ushahidi wa makubaliano baina yenu yanayoonyesha kuwa pesa alizokuwa akikupa siku,tareh,mwez na mwaka fulan utamuludishia
2.akumbuke hakuna sheria anayocema kuwa ghalama zilzotumika ktk mahusiano kuwa znaludishwa kwa mtoaji..kama anataka hivyo akubal kuwa ww ulikuwa mke wa ndoa hvyo mgawane mali mlizochuma pamoja..ikiwa ni pamaja na mal zlzopo kwa mkewe huyo uliyemugundua..dada ucilie mbona kesi haipo hapo tayal umeshamushinda..cha kufanya nenda polic kaandikishe kuwa x wangu ananifanyia vitisho na anataka nimupe pexa ambazo hakuniazima
 
kama upo makini kweli na usumbufu wa namna hii, ni PM nikupatie namba ya mwanaharakati mama flani hapa mjini, ni mwanasheria na kajizatiti sana kukomoa wanaume wa aina hii
kesi hizi anazipenda maana anashinda buree,
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????

Duh, umenikumbusha mbali, tulikuwa tunavaliana pensi na my ex, bahati mbaya wakati tunaachana ilikuwa kwangu na alikuwa amechukua tshirt yangu, hadi leo navaa na yeye namuona anavaa tshirt yangu maisha yanaenda.
 
kama upo makini kweli na usumbufu wa namna hii, ni PM nikupatie namba ya mwanaharakati mama flani hapa mjini, ni mwanasheria na kajizatiti sana kukomoa wanaume wa aina hii
kesi hizi anazipenda maana anashinda buree,

Umenichekesha sana inaonekana huyo mwanasheria ni mpare, Tafadhari nipatie hiyo namba inbox nahiitaji
 
Mwambie hata tak@@@@@. Apat

Hana adabu akupe sperm zako kwanza
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????

Polisi huwa wanashtakiana cha msingi ni madai ya msingi. Haiwezekani afahamiane na ocs hadi rpc.

Watakufungulia kesi, atakamatwa, then toa ushirikiano apelekwe mahakamani
 
sina mtu yoyote ninae ishi nae n wala siwezi kumpata ni mtu mwenye kufahamiana na polis

Polisi hana rafiki wa kudumu leo utacheka naye kesho anatekeleza sheria. Inayomtia hatiani mtu, si mtu bali sheria
 
Kwani jumla anakudai kiasi gani?

Soln ya watu tusiopenda kuumiza vichwa kwa majambo yasiyo na tija
 
Pole dada,,,, hebu akupishe alivyokua anakudandia na kula raha hakumbuki!!!!!!!!
Kama vitisho vinazidi kashtaki police na kesi iende mahakamani
 
Man wat u takn is da reality! maduu wanashoboka pasipo kujua maninaaa! kapewa vitu heavy ndo maana amekuja kuseek cheeep sympath hapa! alikubali kuvua nguo bila shuruti ili tukizi malengo yake! leo hii anaumia kuvikosa utazani alipay out kila kilichoko ndani mwake!
women they r just f*kn wanapenda sana vya kupewa, ila tukidai vyetu wanang'ang'ania kama walinunua wao!
wanawake jitambueni unless tutaendelea kuwachapa nao kila siku ma'ninaaaa.

Bila shaka ndio wewe mhusika mwenyewe. Hebu tueleze basi ilikuwaje?
 
Duh aisee huyu member utupu aka The Vacuum aisee ni shida...kamaind kinoma na amelivalia njuga hii inshu hadi...
Pole mtoa mada vya bure gharama.
 
Last edited by a moderator:
Matola inategemea mkuu mademu wengine they r very troubleshooters aaaagrrrr! mshikaji pengine kajituma kichizi kumeet demand ya huyu demu. Then baada ya wiki2 demu anazingua hataki kupokea simu kutwa nzima, ukimwandikia sms kiukali fulani kuonesha msuri wa kiumme anaanza kureact negatively na kukuponda kisen.ge kwann usidai mali zako? M talking regarding to my own experience.
Demu nilimkuta form2, nikahudumia mpaka udsm bt end of the day akanitenda na kuleta mambo ya shobo. Agggrrr niliumiaje mkuu!

hihihihihiiiiiiii,,,,,,demu wa form two au mtoto wa form two? Na ukome kusarandia vitoto. Nampa KONGOLE binti huyo. mtoto wa form two hata kupenda hajui ni nini anafata mkumbo tu na kukuheshimu kwa sababu mkubwa na unampa vitu. Yaani unipe msaada bila mi kukuomba halafu baadae uje uniletee kibesi???!! Kama unajua sana kusaidia kasomeshe yatima kibao wanataka kusoma. Lakini kama unajitoa kwa binti mwenye kwao ili baadae uchukue, hilo la kwako. Kwa binti unatakiwa kutoa mahari tu na akileta za kuletwa unaruhusiwa kuvunja uchumba na kurudishiwa mahari yako. Hivyo vingine mu-assume mnapeleka kwa waganga - havirudi. Kwi kwi kwi kwi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom