Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Acheni hizo nyie mnaotoa ushauri eti arudishe vitu. Kwa hiyo binti wa watu awe ametumika bure. Ebo!! Halafu wewe kadadaa mwambie huyo ex wako kuwa mm Kamanda Kazi ni bro wako. Kama yeye yuko karibu na polisi basi wewe uko karibu Kamanda mpiganaji.
 
Wazee, thanks for great contributions.

Mnalionaje hili la JK kupata kura zote isipokuwa moja tu? does it mean kwamba wajumbe wote isipokuwa mmoja tu wapo happy na mabadiliko ambayo mwenyekiti atayafanya (dalili zipo) hata kama yatawahathiri?

Naamini kuwa kuna wajumbe walikuwa na informations za mabadiliko ya sekretarieti ya CCM Taifa kabla hata ya mkutano wa Dodoma, sasa hao wajumbe na wanaowaunga mkono (ambao kwa akili za kawaida wasingependa jamaa zao watolewe) hawakuwa na habari kweli, au wanaamini labda Mzee JK hatawatupa kabisa, ila atawatafutia sehemu nyingine?

Kama kweli wajumbe walipiga kura kwa mapenzi yao bila sababu nyingine..., then wananchi hawana budi kuamini kuwa makundi ndani ya CCM yameshazikwa. Kama CCM imerudi kuwa moja kwelikweli basi ipo kazi kubwa sana tena sana ya kujenga upinzani wakuhakikisha ''tembo CCM halali usingizi" kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla.

nyie ndo wehu sasa unavyohonga kwanini usiseme kama nakuazima mnajishaua nimekuletea zawadi chukua mpenzi wangu kumbe dhiki zimewajaa mpaka kwenye ukope,na kwanza hivyo vitu alikuwa anatoa bure si alikuwa anapewa unyumba aliona raha tu kupewa huyo dada asirudishe chochote aende kumshitaki kwenye kituo kingine cha polisi kama akiona mapolisi karibu na anapoishi wanafahamiana na hicho kidume choka mbaya.
 
Bibie huyo jamaa yako mshtaki tu polisi hata kama anajuana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Afrika mashariki na kati. Kama meseji za vitisho unazo na majirani wamemuona akikufata fata inatosha kusema anatishia maisha yako. Sasa tukisema umrudishie hela zake wewe na yeye mnajua ni shilingi ngapi? Na alikuwa anakupa hela kwa makubaliano gani? Wanaume vichaa wapo na wanawake pia. Kuna baba alianzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzie na akamwahidi kumuoa kwa uongo kuwa anamalizia mchakato wa talaka kwa mkewe halafu baada ya kuzini kwa muda akamuacha yule mama. Yule mama mbona alitinga nyumbani kwa yule baba na kugoma kutoka? Na ushahidi alikuwa nao. Ilikuwa aibu mbele ya mke na watoto. Mwambie akupe hesabu ya hela anazokudai kisha mkaandikishane huko sijui polisi sijui mahakamani baada ya kumaliza kesi ya kukutishia maisha. Poleee
 
kwa mtoro ananiweka katika wakati mgumumaana hata nikimwambia aje achukue vitu naogopa atanidhuru na pia yeyeanataka pesa na sio just vitu tu

kama yeye unamuogopa tafuta namba ya mkewe umwambie aje achukue vitu vya mume wake kama unania ya kuvirudisha
 
Matola inategemea mkuu mademu wengine they r very troubleshooters aaaagrrrr! mshikaji pengine kajituma kichizi kumeet demand ya huyu demu. Then baada ya wiki2 demu anazingua hataki kupokea simu kutwa nzima, ukimwandikia sms kiukali fulani kuonesha msuri wa kiumme anaanza kureact negatively na kukuponda kisen.ge kwann usidai mali zako? M talking regarding to my own experience.
Demu nilimkuta form2, nikahudumia mpaka udsm bt end of the day akanitenda na kuleta mambo ya shobo. Agggrrr niliumiaje mkuu!

Mkuu una mshipa wa kiume hasa....mi leo sicomment nagonga like tu
 
Last edited by a moderator:
ninavyojua mimi, legally speaking, kama hizo zawadi alikupa in contemplation of marriage na wewe ndiye uliye-break hiyo relationship then ni haki yake kuwa refunded all those gifts. otherwise, kwa kutumia common sense huwezi kudai zawadi amboyo ulimpa rafikiyo but, kwangu mimi, mpaka atake hivyo vitu vyake may be ni vya thamani kubwa! na kama ndivyo hata mimi naiona concern yake yakurejeshewa!

huyu dada alikuwa na ground nzuri ya kuvunja hiyo relationship maana huyo kaka tayari alikuwa na mke alikuwa anamdanganya tu dada wa watu asingeweza kumuoa kwahiyo huyo dada haazimishwi kurudisha hivyo vitu maana alipewa kama zawadi huyo mwanaume imekula kwake.
 
anataka Mgegedo....we akija kuwa mpole Mpe akikubali tu .....wakati anapiga mayowe I...coming ...ndo umwambie akusamehee anachokudaiiiiiiii...kwani upo tayari kwa mgegedo kila akitakaaaa....afya sometime muundie tume ya ka ya GLOBAL publishaaaaaa atashika adabu
 
Wee mrudishie vitu vyake alafu ukome kudate na wazee' uache tamaa ya kudeal na wazee wenye familia kisa pesa utaja uwawa bure ona sasa anavyokutia jamba jamba mpaka unakimbilia chooni, manake inaonekana huyo mzee ni kigogo mpaka umesema anajuana na polisi sana sio mchezo!

kosa sio lake inavyoonekana huyo dada hakujua kama huyo mwanaume ameshaoa ndio maana alivyojua akamuacha.
 
Kwanini wakati anakupa hukuja kutushirikisha wadau sasa mmetafunana karaha unatushirikisha.

Hututendei haki raha mtumbue wenyewe karaha utuambie

Hebu tueleze wakati wa kumpiga mamizinga na kuvuta mikwanja ilivyokuwa na ulivyokuwa unaelea kwenye raha tuchanganye na upande huu wa pili tujue pa kuanzia na utakuwa umetutendea haki.

Mizinga upige wewe kudaiwa tutoe ushauri siye Majanga kweli kweli
 
ninavyojua mimi, legally speaking, kama hizo zawadi alikupa in contemplation of marriage na wewe ndiye uliye-break hiyo relationship then ni haki yake kuwa refunded all those gifts. otherwise, kwa kutumia common sense huwezi kudai zawadi amboyo ulimpa rafikiyo but, kwangu mimi, mpaka atake hivyo vitu vyake may be ni vya thamani kubwa! na kama ndivyo hata mimi naiona concern yake yakurejeshewa!
Ninavyojua mimi, logically speaking, zawadi haitakiwi kurudishwa labda tu kama mpokeaji atahisi kuna ubaya unaofuata nyuma ya zawadi ile, zawadi haiachi kuwa zawadi inapokuwa ya thamani kubwa, na haiwi zawadi zaidi inapokuwa na thamani ndogo. Kwa hiyo hoja ya kwamba kama zawadi ina thamani kubwa arudishe haina mashiko.
 
mi ningemrudishia ila ningemtenda mbaya hicho kidudu chake kisisimame tena halafu ningemuongezea na busha juu akome kuchezea watoto wa watu shenzi sana huyo.
 
kama vitu vina jina lako waogopa nini usifute message akienda polisi hizo ni ushaidi tosha asikutishie tena kachukue ara b kabla hajaenda polisi.
teba mwambie akiendelea utamwambia mkewe
 
Shosti wewe ni mwanamke,na mwanamke nikujiamini, sasa basi mpe upuuzi wake,yani ningekua mimi wala sijifichi chooni wala chinibya mvungu, akitaka chake nampa haidhuri hata chini ntalala,lakini wewe unasema amekutumia kwani ulikua una muuzia? Haya basi mwambie akulipe mlipokua mkipeana raha pale kwenye Sita kwa Sita, asije kukuvunja mguu bure wewe mpe taka taka zake hata kama garinumasikini jadi bwana...
 

Dawa ya deni ni kulipa...mwambie akokotoe amount anayokudai then mmalizane kwa Amani!

Inaonekana jamaa ni mtu wa visasi hivyo lazima Tu atakudhuru hata kama sio Leo.Mlipe Tu asepe yanini malumbano?

Liwe fundisho na kwa wadada wengine mnapotumbua vya watu mjue wamewafungulia Two Columns Cash Books na Trial Balance.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom