Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

safi sana....huyo jamaa ni mfano wa kuigwa..
hela zake umezifaidi sasa ni payback time..l
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????

Sorry upo mkoa gan??sema nikusaidie.
 
Duuuh hilo chezo ukimshirikisha mkewe umekwisha coz baadhi ya wanawake anaungana na mumewe katika soo kama hilo.....wakimaliza kwako ndo ugomvi wao sasa unaanza.Takecare
 
Ninavyojua mimi, logically speaking, zawadi haitakiwi kurudishwa labda tu kama mpokeaji atahisi kuna ubaya unaofuata nyuma ya zawadi ile, zawadi haiachi kuwa zawadi inapokuwa ya thamani kubwa, na haiwi zawadi zaidi inapokuwa na thamani ndogo. Kwa hiyo hoja ya kwamba kama zawadi ina thamani kubwa arudishe haina mashiko.

Samahani, wewe ni Nandera wa HY?

||"You were too young to understand"||
 
Wanawake bwana, kula mle nyie kugongwa mtake ushauri!!!
 
Hii siyo haki brother don't generalise, ni ushamba uliopitiliza kumdai demu gift ulizompa, labda kama ulikuwa msanii ukampa gari na kadi ukabaki nayo basi ukidai akurudishie poa tu kwa sababu gari bado ni yako lakini gadgets zingine kudai ni ushamba.

Adai na pocket money alizokuwa anampa kama yeye ni bingwa wa kudai.

Af inawezekana alikua anamtumia kavu kavu pia,dah wanaume nyoko mdomana baadh ya madem ukiingia kwenye anga zao hawakuachii hata chup ,sasa wkt anapja bao na kubana ------ alikua anategemea nn,hajui kua dem ndo anapoteza,***** uyo jamaa km ningekua namjua ningemtia kisu cha ------
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????
mwambie na yeye akaurudishie gharama za kukuchoonoa papuchi...
 
kama upo makini kweli na usumbufu wa namna hii, ni PM nikupatie namba ya mwanaharakati mama flani hapa mjini, ni mwanasheria na kajizatiti sana kukomoa wanaume wa aina hii
kesi hizi anazipenda maana anashinda buree,

huyo mama kazi yake ndo kutetea ma.laya au?
 
Umenichekesha sana inaonekana huyo mwanasheria ni mpare, Tafadhari nipatie hiyo namba inbox nahiitaji

oya,fanya michakato yako ya maisha bhana! Utawasaidia wangapi hapa jukwaani? Acha watu walipe madeni yao bro!
 
Duh aisee huyu member utupu aka The Vacuum aisee ni shida...kamaind kinoma na amelivalia njuga hii inshu hadi...
Pole mtoa mada vya bure gharama.

namuunga mkono utupu,he has a point there! Mademu wa siku hamuwajui nyie?
 
Last edited by a moderator:
Acheni hizo nyie mnaotoa ushauri eti arudishe vitu. Kwa hiyo binti wa watu awe ametumika bure. Ebo!! Halafu wewe kadadaa mwambie huyo ex wako kuwa mm Kamanda Kazi ni bro wako. Kama yeye yuko karibu na polisi basi wewe uko karibu Kamanda mpiganaji.

kwani alikuwa anauza k?
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????
masai kwani huna rungu na sime kiunoni?
 
wewe naye ni mkorofi ,jana nilikuona police pale nyakato,yule jamaa anachodai nikuwa wewe una mtisha kwamba kitakacho mkuta atakijutia na sio kwamba haujui kama anamke una jua tatizo lako unamshinikiza atelekeze nyumba kubwa na wanaye ..je huo niuungwana kweli.aka kuomba basi mwachane unaanza kumtisha,thats why kaenda police,,
badililika ,nyie wana wake ni wauaji wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom