Kwani we kumrudishia pesa zake shida ipo wapi? kwani zako? siulipewa ukatumia? mrudishie sasa.... kama unaupenda uhai wa maisha yako bora ufanye uamuzi wa kumrudishia pesa zaken ili uwe huru na maisha yako pesa utatafuta utazipata. sasa ndo utajua km kila siku ulikuwa unaomba laki 200,000 unalo! tatizo la girls huwa hamjifunzi kitu boyfrnd akikupa zawadi ya 100,000 we mpe hata ya 10,000 hata mkiachana hawezi kuvidai coz hata wewe ulikuwa wampa, sasa wew ulikuwa unapokea tu ulitegemea nini? ndo majanga sasa. lakini pia jifunze kutokupenda pesa za vidume coz mapenzi sio pesa tu.