EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

Hahaha kuna muda unapata hasira unabaki kucheka Tu,

Ila nini natamani mafuta yafike 10,000 ili akili zitukae Sawa
 
Nauliza kwanini imepanda? ijapo bei ya petroli ni cha mtoto kwenye mafuta ya kula,,,tunaelekea wapi? na tufanyeje kuzuia vitu kupanda? naomba ushauri wenu
 
Duh, aisee.

Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.

Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.
Hivi ile ruzuku serikali inayotoa kukabiliana na bei ya mafuta, ni nani anachukua ?ni wafanyabiashara wa au?
 
Nimeenda Big bon asubuhi naangalia pump naona 3500, nikauliza vip? najibiwa bei ni elf 3 miambili na ushee, sisi hatun chenchi za kurudisha hizo mia 288 ndio maana tumeweka elfu 3500 kabisa daah.

Nikaweka ltr 5 nikaondoka.

Wikihii aiishi nanunua pkpk niendane ma mazingira naona muda simrefu itafika elfu tano,ngoja niwahi.
 
Ulinganifu huu ni kiinimacho. Ulinganifu mzuri ni ule wa bei ya zamani na ya sasa ili tujue kama imepanda au imeteremka. Ukweli ni kwamba bei imepanda kwa kiwango kikubwa. Wadau tumekatwa na kitu chenye ncha kali sana.
 
Hiki kichwa ingekuwa kipindu cha GOVID 12 kipo . Tungetembea na mitungi ya gesi. Na uchumi ungekuwa zero level.
Sasa ngoja tukimbize. Kama hatuoni fursa kwenye hii vita ambapo hatuna kinachotugharinu basi tena.
Ilikuwa ndio kipindi cha kupunguza gepu za madeni waliyotukopesha wale wahuni wetu maana wao wako vitani.
Tunajiona tumo vitani kwa kutengenezwa kisaikolojia, ngoja tutaiona china itakavyoinuka naiona China ikiombea vita iendelee tu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
watanzania sisi ni wavumilivu sana, wengine wanasema eti na kaujinga kamo ndani yetu.
 
Back
Top Bottom