BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za Mafuta zilizoanza kutumika leo Novemba 1, 2023. Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,274, Dizeli 3,374 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,423.
Tanga, Petroli ni Tsh. 3,274 kutoka 3,327, Dizeli imepanda kutoka 3,494 hadi 3,510, Mafuta ya Taa Tsh. yamepanda hadi Tsh. 3,469 kutoka 2,989. Mtwara, Petroli itauzwa Tsh. 3,347, Dizeli Tsh. 3,546 na Mafuta ya Taa Tsh. yamepanda hadi Tsh. 3,495 kutoka 3,016.
EWURA imesema mabadiliko hayo yanatokana na kupungua kwa Bei ya Mafuta katika Soko la Dunia kwa Wastani wa 5.68% na gharama za uagizaji wa Petroli kwa 13%, Dizeli 25%.