Ikunguru ijiruNauliza kwanini imepanda? ijapo bei ya petroli ni cha mtoto kwenye mafuta ya kula,,,tunaelekea wapi? na tufanyeje kuzuia vitu kupanda? naomba ushauri wenu
Hivi ile ruzuku serikali inayotoa kukabiliana na bei ya mafuta, ni nani anachukua ?ni wafanyabiashara wa au?Duh, aisee.
Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.
Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.