Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Yap, leo mm nimepeleka mtungi wa Oryx nimepata wa mihan. Bei elfu 54
nitajaribu hivyo kesho.huu ni wizi wa kimacho macho
Yap, leo mm nimepeleka mtungi wa Oryx nimepata wa mihan. Bei elfu 54
Halafu gas haina vat kwanini elfu tisa mara moja?
Hivi Arusha kuna Mihan kweli?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nachojua EWURA hawadhibiti bei za gesi na ndo maana mara zote bei za gesi hutolewa na oryx ambao ndo waagizaji na wasambazaji wakuu.
Kiukweli EWURA wanapaswa kulitazama eneo hili muhimu badala ya kuwaachia magabachori wafanye watakavyo km ilivyo sasa.
Hivi Arusha kuna Mihan kweli?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums