Ewura na Gas za majumbani!

Ewura na Gas za majumbani!

Ya juzi ndio habari ya mujini kama ulichanga 54 basi ongezea ifike 63 ununue gas mama
 
Tunapoelekea sasa ni kwenye kuni na mkaa tutachoma miti kupata mkaa misitu ndio itaisha maana hatuwezi kutumia jiko la umeme na mafuta ya taa yako juu sijui hii serikali yetu inafikiria nn....

Kilasiku heri ya jana maisha yanazidi kupanda mishahara iko palepale kha!
 
Ya juzi ndio habari ya mujini kama ulichanga 54 basi ongezea ifike 63 ununue gas mama

Du wamenikosa nafikili nilinunua kabla bei haijapanda wiki iliyopita..sasa hapa nijiandae kwa move inayokuja mwakani..Sababu za gesi kupanda hawakusema?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mmeshindwa kutawanya maji kwenye maeneo yaliyopimwa mtaweza ges acha siasa we we
Mkiambiwa mabomba yaletwe tuweze kutumia gas yetu mnalalamika, sasa unganeni na Serikali ifike mapema gas yetu hapa tuachane na hii LPG ambayo ni ghali.

Tayri kuna kampuni itaanza kushughulikia mabomba ya kufikisha gas majumbani. Kwa wale wanaokaa kwenye mitaa iliyopimwa tu, mlionunua viwanja vya squatter mkajenga mtajijuu.
 
Hebu nisaidieni sijaelewa inamaana nikipeleka mtungi wa oryx mihans wanijazie gas watajaza au inakuaje maana hela ilipandishwa ni kubwa jamani....
Na ni wapi kwa dar watanijazia hiyo gas ya mihans kwenye mtungi wa oryx

Ile mitungi inakua filled tayari wewe unapeleka wako kwa kubadilisha tu.

Mimi jana nimeenda na mtungi wa Oryx nimepewa wa mihan. Ni huku zenj sasa sijui huko kwenu bongoland
 
Mkiambiwa mabomba yaletwe tuweze kutumia gas yetu mnalalamika, sasa unganeni na Serikali ifike mapema gas yetu hapa tuachane na hii LPG ambayo ni ghali.

Tayri kuna kampuni itaanza kushughulikia mabomba ya kufikisha gas majumbani. Kwa wale wanaokaa kwenye mitaa iliyopimwa tu, mlionunua viwanja vya squatter mkajenga mtajijuu.

We mwehu, hivi unadhani gesi imepanda Dar pekee..??
 
EWURA wataanza ku-regulate bei ya gas kuanzia mwaka kesho. Hii ni pamoja na kuondokana na mfumo wa sasa wa kila mtu kuagiza gas kivyake. ingawaje kwa ufisadi huu , hakutakuwa na nafuu yoyote katika bei ya mtumiaji wa mwisho. Refer Oil prices before and after introduction of bulk purchasing !
 
hili ni janga La tz hii inchi bwana kama vile haina kiongozi kabisa maana watu wanajipangia tu bei no controller yani sawa na familia isiyokuwa na mshua daaaaaaaaaaah!mpaka tufike 2015,misitu hakuna ngozi zimekobolewa na jua/joto
 
chadema mlisema gas isitoke mtwara mpaka watu wapate elimv leo mnalia.pikien kuni

Kwani hiyo ndo ya mtwara ndugu? Au ukisikia gesi ndo tayari mtwara, siku tutakapoacha kufikiri kivyama ndo tutakuwa tumeshinda
 
Asavali mie nilijinunulia mkaa kiroho safiiiiiiiiii........... Jigunia zima miezi mitatu! Gas rest in peacE...........

Kama unatumia mkaa gunia moja kwa miezi mitatu basi gas ya kg 15 unaweza kutumia hata miezi ninane.

Means huna matumizi sana ya mambo ya mapishi.

Istoshe maisha ya sasa tulivo busy mtu unarudi kazini 2 au 3 ya usiku uanze kukoka makaa ili kujipikia si kupoteza muda huko?

Au unaamka asubuh, mathalan unataka kupikia wtt uji au chips za shule tena uanze kukoka makaa, utamaliza saa ngapi?

Kwangu mimi makaa rip.
 
Dah... Itabidi aisee....
 
Back
Top Bottom