Gesi ya matumizi ya majumbani yapanda bei

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
TAIFA GESI IMEFIA WAPI?
Bei ya gesi za majumbani (LPG) yapanda mara dufu

Mtungi mdogo, 6kg: Kutoka TZS 19000/- hadi TZS 22000/-

Mtungi wa kati, 15kg: Kutoka TZS 48000/- hadi TZS 54000/-

Mtungi mkubwa, 30kg; Kutoka TZS 75000/- hadi TZS 100500/- #MMM
 
Kupanda na kushuka bei kwa bidhaa ni jambo la kawaida kabisa uzalishaji ukizidiwa na mahitaji tegemea bei kupanda na kinyume chake.

Siku bei ya gesi ikishuka ulete Uzi pia kutujuza kushuka kwakwe
 
Kwenye gas serikari cjawaelewa! Watupe na sababu ya gas kupanda cyo kupandisha tu! Waziri wa nishati aje na majibu.
 
Kupanda na kushuka bei kwa bidhaa ni jambo la kawaida kabisa uzalishaji ukizidiwa na mahitaji tegemea bei kupanda na kinyume chake.

Siku bei ya gesi ikishuka ulete Uzi pia kutujuza kushuka kwakwe

Gas imepungua supply lini? Ukihusisha kupanda bei na kupanda gharama za uzalishaji itakuwa sahihi zaidi. Na huwezi kutoa sababu hiyo kwa kuwa utakuwa umekiri kitu ambacho awamu hii hawataki kisemwe: mfumuko wa bei.
Ndio maana kina Albina wanapika data na sheria ikatungwa kuzuia mtu asitoe takwimu zinazopingana na za serikali hata kama ni za kweli.
 
Kwa sisi wa Longido tunaopikia kinyesi cha ngombe na punda tunapita kimyakimya
 
Ankoo alisema tutalimia meno,
Chama kikasema tutaisoma number.
Kama kuna mtu hajaelewa mpaka sasa huyo anahitaji kumuona daktari
 
Back
Top Bottom