BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 486
Jamani hv hawa ewura wanatumia vigezo gani kupandisha bei za gas. Kutoka Tsh.54000 hadi Tsh. 63000 jamani kwa maisha haya elfu tisa mzima kweli hii nihaki?
Tukiwa kwenye malumbano yasiyo na maana mara zitto, mara mbowe kaenda dubai mara mkuu wakaya kaenda pima maradhi,.
Serikali ovu ya chama cha mapinduzi imeruhusu upandandaji wa bei ya gesi,.
Bei hizo zimepanda toka
-mtungi 6kg zamani 22000 bei ya sasa ni 26000
- mtungi 15kg zamani 54000 sasa ni 64000:
je serikari inampango kweli wa kupunguza uharibifu wa mazingira kwa kupunguza matumizi ya mkaa nakuni.???