Ewe Njiwa, Ewe Njiwa - Peleka Salamu

Mbu we acha tu .........afu umpate bidada mwenye sauti mashallahw. afanya kukuimbia taratibu huku akikuchezea nywele kichwani kwa vidole vyake laiiiiini. Ah unasinzia kabla hata hajafika chorus. Mwambao mh.........

...ha ha ha! eeeeehhhh!?,
Shughuli imempata mshughulikiaji!
Wenye vipara tulie tu kuzikosa raha raha!
ha ha ha!
 
...ha ha ha! eeeeehhhh!?,
Shughuli imempata mshughulikiaji!
Wenye vipara tulie tu kuzikosa raha raha!
ha ha ha!

Wala Mbu siku zote mchezo huchezwa kutokana na hali ya uwanja. kama hakuna nyasi basi twafanya kupapasa taratibu na kiganja cha mkono ati. mbona haina kwere
 
MJ1 mweeh, kumbe na anga hizi umo mamii?
Hebu niimbie ule...'naomba nipate lau nafasi, nipate kusema nawe kidogoooo...
Moyoni naumiaaa...
 
Back
Top Bottom