Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Ewe mwanaume hivi unaanzaje kufanya hivi?

Mwingine anategesha camera kwa siri pembeni we hujui!

Wengine ndo hao wapuuzi wanaokubali kupigwa eti asizirushe, simu hushikwa na watu wengi sana u never know,kuna kuibiwa simu n.k!
Huyo Dada ni kichaa

Hao wanaitegesha camera kwa siri ndiyo wa kuwalaumu sasa ila hao kama wakina Nandi hakuna kuwahurumia ni upuuzi wao wote wawili
 
Hahaaaa. Lol.

Bora huwa unajiongeza rafiki sababu mimi kama mimi pia nimewaza kama wewe sababu saa nyingine hiyo simu yaweza pokelewa ikawa ya madeni ukajikuta ukitoka hapo huo mshedede ushasinzia sasa mpaka kuanza kuuamsha tena lol.

Ni vyema muda ule usiingiliane na jambo aiseee.
Ujue kutiana mkiamua kujifungia ipasavyo mkatulia vizuri hadi mkatokwa na maneno ya lugha hata hamjui mnaongea nini yataka faragha sana. Sasa mara simu inaita, mara huyu anapiga picha, mara anarecord- muda huo sina kwakweli ni bora tu nit0mBe godoro khaaa!
 
Back
Top Bottom