Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Wajinga tuu,.na mara nyingi hufa kwa kihoro cha moyo...Wanaume wenye hizi tabia wanadhani akikufanyia hivyo anakuharibia maisha yako yoteeeee
Wajinga tuu,.na mara nyingi hufa kwa kihoro cha moyo...Wanaume wenye hizi tabia wanadhani akikufanyia hivyo anakuharibia maisha yako yoteeeee
Kuna kalamu kuna miwaniKweli lakini mwingine anategesha vitu kama hvyo ujue
Pole sana mhenga ulikutana na katoto alafu sasa ni kasera maviHabarini waungwana!
Naomba kuwauliza wanaume hapa maana yaonekana wanapenda huu mchezo.
Hivi unaanzaje kumchukua video mpenzi wako mnapokua mnafanya Yale mambo halafu unazirusha kwenye mitandao ya kijamii?
Hivi lengo nini haswa?hamjiskii vibaya au nafsi haziwasuti kwa hicho kitendo?mbona ni udhalilishaji sanaa!!!
Na ukitaka kujua mnafanya haya makusudi Mara nyingi zile video clipo mwanaume haonekani sura zaidi "mdudu" wake tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] ila mwanamke anaonekana mpk sura na madoido yote pale kwa majambozi jamaanii!
Wanaume msitufanyie hvyo jamani hata kama mtu ni changudoa au yoyote yule hakuna kitendo kibaya kama kile jamani kinaumaa!
Ule ni zaidi ya uuaji kwa mwanamke!Hivi pata picha Dada ako,mama ako au ndugu yoyote wa kike wa kwako akifanyiwa hvyo utajiskiaje?au hamjui hivi vitu vinaweza kukurudia siku moja kwa namna nyingine?
Mimi bwana ukinifanyia hivi nikishindwa kukuua,sijawahi kuroga mtu ila ntakuroga aiseeehhh!uwe hata chizi maana kwa Mungu mbali kusubiri hukumu!Siwezi kukubali hii aibu aiseeh!
Hata kama tulipiga kwa mapenzi yetu ila kwa nini uzirushe kwenye mitandao tukiachana?
Acheni hiyo tabia mnaumiza sana wanawake.
Na siku zote Kwenye maisha malipo ni hapahapa DunianiKama Zari au Nandi
Ndo uanaume huo siyo mwingine hasira zakeee anaamua apost Picha zakoo
Mm nahisi mwanaume anayepost ndo unajiharibia demu gani atakubali tena ajekwako kama una tabia ya kupost pichaaaa ila kwa upande wa mwanamke utakuwa umemfungulia njiaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuwe wakweli ile starehe inahitaji privacy na utulivu wa 100% ili muinjoi!Ujue kutiana mkiamua kujifungia ipasavyo mkatulia vizuri hadi mkatokwa na maneno ya lugha hata hamjui mnaongea nini yataka faragha sana. Sasa mara simu inaita, mara huyu anapiga picha, mara anarecord- muda huo sina kwakweli ni bora tu nit0mBe godoro khaaa!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sijawahi Fanya ujinga huooooKuna wengine wanaona labda akimtumia mpenz wake labda ndio kumuonesha kuwa anampenda sana!
Ujue ni nini rafiki. Yule aliyeiweka ndio anakuwa wa kwanza kumsukumizia kule ambapo ipo hiyo kamera hivyo sidhani kama itakuwa ngumu kuiepuka wakati ameshajua ilipo rafiki.Kwamba kamera inakuwa inakurekodi kwa kificho, cha ajabu eti itokee sura yako mwanamke tu yangu mimi mwanaume isitokee inawezekana vp?
Sio kweli baana wee. Mnakuwa mnajua na mnaridhia. Hata hao ambao picha zao zimesambaa mitandaoni wanakiri waliridhia kwa kigezo cha kwamba eti walikuwa wanapendana. Akili ya binadamu inageuka sekunde ,unaanzaje kukubali kupigwa mapicha ya uchi wako umeuanika chanuuuu peupe kbs!?Nimesema wanavizia wengine wanategesha laptop basi tu ili mradii akupigee picha huwez jua mwanaume anawaza nn moyoni mwakeee
Tupo sambamba dada usijaliHahaaaaa. Halijakuacha kaka. Twendeeee
Kabisa!Unakataa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na asikwambie mtu watu waliofanyiwa hivyo hufanikiwa zaidiiiiWajinga tuu,.na mara nyingi hufa kwa kihoro cha moyo...
Kama yule Honey wa Uganda aliyechukuliwa video clip na Jack Pemba kwa kujituma kulee kamtangazia soko bidadaNdivyo ilivyo bi shost mwingine lile timbwili lako tuu anakuoa kabisaa,. huyo alokurekodj anashangaa na roho yake anabaki kutapatapa alivyo kurahisishia kazi...
Kivipi tena sijakuelewaaaDemisss amefunguliwa njia ama amechafuliwa njia???
Sanaa!cha msingi usikubali video clip baasiMwanzo wanakuwa hawana mawazo hayo ya kuzisambaza hizo vedeo na picha, movie la kihindi linaanza pale wanapokwaruzana tu na kutokuelewana ndiyo zinaachiwa sasa.
Ila sio poa kabisa yani
Hahaaa. Huu ni moja ya ukweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuwe wakweli ile starehe inahitaji privacy na utulivu wa 100% ili muinjoi!
Ukiona anachukuana shooting sijui video basi mwanaume hajaja kutiana amekuja kukukomesha tu!
Lazima atafutwe yule...japo sijaona mm teh teh...[emoji4]Kama yule Honey wa Uganda aliyechukuliwa video clip na Jack Pemba kwa kujituma kulee kamtangazia soko bidada
Unalewa kiasi cha kupigwa picha za uchi!? Huko kutiana kwenyewe mtatianaje sasa kama mwenza wako anakuwa kalewa kiasi hicho? Mbona itakuwa kama unatiana na gogo hata hainogiIla mkumbuke na matumizi ya vilevi pia yanachangia kwa kiasi flani