Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

Ewe mwanamke hebu njoo unipe jibu hapa!!!!!!

siwezi kumwacha hata kwa dawa. kuwa na nwanaume ambaye si mzinifu ni big deal so hayo mapungufu mengine hayahusu na wala hamtajua kama acontribute chochote ndani ni siri yetu mimi na yeye cha maana ni upendo wa dhati.
mi kitakacho niondoa kwa mume ni kama akiwa mzinifu tu mengine tutarekebishana
no body is an angel we make mistakes smtime ila sio mistake yauzinifu

kumbe hii hairekebishiki!!!
 
Ukisoma post zako mbili, utaona kuwa hapo chini umekuwa sober zaidi....

Hakuna mwanamume anaweza kukubali kuzidiwa na mke wake na akatulia kama huyo anayeelezewa na Eiyer....

Kama yupo nitaomba nioneshwe ili nimruhusu Muumba anichukue kwa amani..

Babu DC!!

haha haaaaaa
babu shikamooo..
DARKCITY ni kweli kabisa, ya kwanza imekaa kihadithi hadithi kama post ya Eiyer ilivyo.. na ya pili imekaa ki uhalisia wa maisha tunayoishi.
 
Last edited by a moderator:
haha haaaaaa
babu shikamooo..
DARKCITY ni kweli kabisa, ya kwanza imekaa kihadithi hadithi kama post ya Eiyer ilivyo.. na ya pili imekaa ki uhalisia wa maisha tunayoishi.


Hapo sasa...

Ndipo unapoweza kuona kuwa haya mambo yamekaa kibongo movies zaidi...lol!!

Hata hivyo, utu uzima dawa aisee...

Babu DC!!
 
una excuse gani ya kuzini nje si uzini na mkeo once mzinifu ni mzinifu tu

heeee!!! kumbe naweza kuzini na mke wangu..!!! kama naweza hivyo kwani nikifanya na wengine itakuwa kosa bado??
 
Kuna sababu nyingi sana ila kubwa ni kwamba wanaume wengi hawapendi wanawake wenye kipato kuwazidi, sasa inapotokea mke ana kipato kikubwa mwanaume anakosa kujiamini nakutoa lawana za hapa na pale. Mfano mwanamke sio rahisi kumwambia mume wake eti kwa sababu una hela ndo maaana.........lakini kwa mume ni rahisi kutamka haya. Kifupi ni wanaume wengi hawapendi mafanikio ya wake zao.

Una uzoefu na hili?
 
Back
Top Bottom