Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
- Thread starter
- #361
Nitampenda sana kupita wanaume wote duniani, ukizingatia nae ananivumilia kwa mengi ingawaje hujaweka tabia za kike. Tukubali ukweli kama umeamua kuolewa na mtu kubali yote, kikubwa ni kutengeneza ka mtandao ka kuambiza ukweli bila shuruti, na kuwa wavumilivu pale mwenzi wako anapochelewa kubadilika.
I see!!!!!!!!!