Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
ukikua utaacha
mbona kama umekasirika best? samahani kama nimekuudhi, sio lengo langu hapa JF...PEACE
ukikua utaacha
Naanza kuamini majina ya watu pia hu- reflect tabia ya mtu, kweli wewe ni Heaven on Earth, swali la kizushi, hivi wewe umeolewa?nimeisoma hii thread kwa umakin...lakin nimeona kuna vitu vitanifanya nisimuanche huyu mwanaume...
No body is perfect..nitaachana na huyu anaechelewa kutoa maamuzi..ntaenda kwa anae act immedietly
lakin ni kiwembe tena kile Gillette..We should learn to appreciate what we have..not what we don't have
He loves ME..yes.I love him yes why leaving such a nice man
Hana pesa nying but he contribute something to our life that's okay....Most men are NATURAL LEADERS they just step
back when their wives think they want to be the leaders..Mbona hakuact hivo when we were boyfriend what If I am the
SOURCE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!I will consider some facts before I pull the PLUG..
mbona kama umekasirika best? samahani kama nimekuudhi, sio lengo langu hapa JF...PEACE
Bado unasubiri?
Hebu chukulia tu kwamba ulikuwa na boy friend ambae mlikuwa pamoja toka secondary halafu mkamaliza pamoja masomo yenu[a level] na kwenda kuendelea na maisha na baada ya muda mkaamua kuoana,maisha ya mke na mume yakaanza.
Baada ya kumaliza masomo mlifanikiwa nyote kupata kazi sehemu tofauti
Baada ya hapo wewe ukawa unajiendeleza kimasomo zaidi na ukafanikiwa kuongeza elimu yako hiyo na kupanda kiwango,kwa upande mwingine mumeo akawa busy na maisha mengine,hakupenda kuendelea kwani yeye aliridhika na elimu aliyokuwa nayo
Kitendo cha wewe kuongeza elimu yako kilikufanya ukapandishwa cheo kazini kwako kitendo kilichoongeza kipato chako kuwa kinono sana,mshahara wako ukawa ni mara 5 ya mshahara wa mumeo,ila kwa kipindi chote mlichokuwa pamoja mlikubakiana msipate kwanza mtoto ili uweze kupata muda mzuri wa kujiendeleza kimasomo
Kitabia mumeo sio mtu wa watoto[wanawake] ni mpole sana na huwa anaonesha kukujali sana kiasi kwamba mtu akija anaweza kudhani umemloga,yaani ni kama goigoi fulani hivi
Pia kwenye upande wa maamuzi ni mzito sana yaani kukiwa na tatizo anachukua muda sana kuamua yeye kama mwanaume hadi wakati mwingine unaingilia kati,yaani huduma ya maji inaweza kuondolewa hapo nyumbani kama yeye ndie alikuwa na jukumu la kulipia au kusimamia ulipaji,pia kutokana na udogo wa kipato chake mara nyingi wewe umekuwa ukichangia karo za watoto na hata mahitaji ya nyumbani kwa kiwango kikubwa sana,na hili wala halioneshi kumkera hata kidogo mumeo yeye anaona ni sawa tu
Mmefanikiwa kujenga nyumba ambayo haijaisha lakini gharama za ujenzi wa nyumba hiyo wewe umegharamia kwa 90% na imebakiza mambo madogo tu mhamie
Kutokana na shughuli unayofanya kuna wakati unachelewa kurudi nyumbani na kumkuta anakusubiri na wala haoneshwi kukerwa na hili,anaona sawa tu
Kwenye familia wewe ndio unaonekana kama mhimili wa hiyo familia kutokana na wewe kuwajibika kwa kiasi kikubwa kwenye mambo mbalimbali
SWALI NI HILI:
Ikitokea ukapewa fursa ya kubadili mume,je utamuacha huyu?
Na kwanini?
umri unaotosha kukaa ndani na mume nikatulia
Naanza kuamini majina ya watu pia hu- reflect tabia ya mtu, kweli wewe ni Heaven on Earth, swali la kizushi, hivi wewe umeolewa?
hahaa Sijaolewa...

ha ha ha ha!!!!!!!!!
utagombaniwa wewe................
ha ha ha ha!!!!!!!!!
utagombaniwa wewe................
Hili jambi unalilizungumzia kimazoea au vipi?Huyo sio goigoi wa maamuzi ila financial position yake dhidi ya mke wake ndio imemfanya awe hivyo. Ktk jamii nyingi mtu mwenye uwezo mkubwa wa kipato ndio mwenye maamuzi mfano mzuri hata katika nchi zilizoendelea watu wenye uchumi mkubwa wanapewa kipaumbele ktk mambo mengi kutokana na mchango wao ktk jamii.
I think, to the point ya kukubali kuwa married...you have known all his weaknesses and strengths. Usually, the one in your hand is better than two out of reach. I will have to adjust to what he is..but he will still be the head of the household!