Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,754
Uliza mrembo!!!!!!!
What is the motive behind this thread!!!!!!!
Uliza mrembo!!!!!!!
Nafanya utafiti!
Lady doctor hebu kuja hapa!
Huyu hapa anashea na anajisikia happy tu!
Wewe DEMBA ile kitu haigawanyiki bana!
Aaaaaahhh!
Hizi ni dalili za kuachana hivi hivi!!
Nimeona!!!!!!
Mtu mzima hatishiwi nyau!!!!!!!!!!!!
Kaizer hivi Nikikumiss nafanyaje
Do ze nidiful Heaven on earth
Halafu hii litania ya Eiyer eti anataka kuwafundisha kuishi mjini? Yani ukimmiss mtu usimwambie
Mada hisika!!!!
Naomba sababu mdida !!
Hili lina ka ukweli fulani hivi
Lakini pia inaonesha pia wanawake wana ka tabia ka kutamani kuongoza ila wanakakosa tu!
Kama yuko humu si itakuwa balaa akisema?