Mdudu halisi
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 2,730
- 4,771
Ukiona mashekh wa BAKWATA wanaanza kumsema Jiwe au Serikali yake, ujue hali ni mbaya.
Wananchi wataamua.Hakuna haja, Tangazeni tu kuwa hakuna uchaguzi mwaka 2020 na muendelee kutawala, au jitangazeni kushinda asilimia 99 saa tano asubuhi hata kabla kura hazijahesabiwa sisi tutatii tu maana tutawafanya nini?. Kama Akwilina aliyekuwa kajikalia zake ndani ya basi kapigwa risasi sisi tuna ubavu gani wa kusema su mbele ya vifaru na mizinga?
Wananchi wataamua.
Hawa EU ni waongo hawa, hapa wanadai balozi wao alilazimishwa kuondoka nchini, waka Balozi Mahiga alisema ukweli kuwa hakufukuzwa bali aliitwa Nyumbani.N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him

mnataka mchukue hatua gani mkuu?
sheria za hifadhi za taifa zinaonesha mwisho wa mipaka yenu mkuu,mkikaidi askari wanyapori watawashughulikia
Tumeanzisha Azimio la kumeudisha kwao Chato ndugu Watanzania tuliungeni mkono.Kuna Mjamaa amepata kazi ya Urais hapo Magogoni ila Nafasi ya Urais bado haijapata Mtu sahihi..
View attachment 970509Kuna Mjamaa amepata kazi ya Urais hapo Magogoni ila Nafasi ya Urais bado haijapata Mtu sahihi..
kama nyie mlivyo emotional na mambo ya demokrasia yasio na msingi sana zaidi ya maendeleo ya kiuchumi ya nchi yanayofanywa na serikali ya hapa kazi ya awamu ya tano.Mkuu naona umeona ushoga tu kwasababu ushajipanga kuelekea huko..
Document imeongelea haki kibao mkuu....jaribu kusoma vizuri!
Watu emotional wanakimbilia kile kilichostua emotions zao wanaacha mambo chungu nzima ya maana vilevile..
Ondoa neno ushoga kichwani mwako for a minute and re-read the document uone vitu vingine!
Wananchi ndio waamuzi. Hayo mengine baki nayo hapo ufipa.Kama wananchi wa Siha, Kinondoni, Ukonga waliamua na hawakusikilizwa basi itakuwa kawaida tu hata wa nchi nzima wasiposikilizwa, kwani wananchi hawa wanyonge hawa watawafanya nini?, bunduki zenu, vifaru vyenu, wakurugenzi wenu, NEC yenu etc.
Mimi nakushauri wala usiwe na wasiwasi wewe lala unono tu, mtashinda ushindi mkubwa wa kishindo
Hivi ni kweli wanasheria lugha ni tatizo?Taifa hili si la mtu, ni la wananchi wote. hivyo basi kila mtu atambue anahaki na taifa hili bila kupangiwa na fulani nje ya sheria ambazo wananchi tunazitaka zituongoze.
Mambo kadhaa mawakili wanatukumbusha ambayo hata kisheria hayajawahi kupatiwa majibu huenda kutokana na wanaotenda ni:-
[emoji666]Kupigwa risasi watu na kukosekana kwa uchunguzi hadi leo!, Uhai wa watu ni muhimu kuliko vitu.
[emoji666]Dola kutafutiza makosa ili kuwafunguliwa kesi za kisiasa wapinzani.
[emoji666]Kutekwa watu na wengine kurudi pasipo kuwekwa wazi au chunguzi au maelezo hata kwa waliotekwa ili kuelezea kinagaubagwa au kuhojiwa na wanahabari.
[emoji666]Watu kupotea na kukutwa kwenye viroba katika maeneo ya fukwe za bahari, hakuna majibu hadi leo!.
[emoji666]Kutungwa kwa sheria ngumu ya mitandao, kuzuia haki ya kujieleza kinyume na misingi ya haki za kikatiba na haki za binadamu.
[emoji666]Kudorora kwa haki za binadamu eg. wanafunzi waliopata ujauzito kutopata haki ya kuendelea kusoma.
[emoji666]Kubadili kwa Sheria na Kanuni za Chaguzi za kupata viongozi wa Kiserikali ili kuwazuia wapinzani wasipate ushindi, hiyo ni nje ya matumizi mabaya ya Vyombo vya Usalama. eg. PolisiDola/...
[emoji666]Kukosekana kwa utawala bora hata katika hali tu iliyozoeleka katika kutofuata sheria za nchi.
Mawakili hawajawahi kuwa wajinga, wanatambua yanayoendelea, kutofuatwa kwa Sheria na kukiukwa kwa Haki za binadamu nchini.
Mungu awaongoze wananchi wote kuendelea kuungana na kushikamana katika kusimamia haki na sheria. "Sema inatosha sasa"!.
Taifa hili si la mtu, ni la wananchi wote. hivyo basi kila mtu atambue anahaki na taifa hili bila kupangiwa na fulani nje ya sheria ambazo wananchi tunazitaka zituongoze.
Mambo kadhaa mawakili wanatukumbusha ambayo hata kisheria hayajawahi kupatiwa majibu huenda kutokana na wanaotenda ni:-
[emoji666]Kupigwa risasi watu na kukosekana kwa uchunguzi hadi leo!, Uhai wa watu ni muhimu kuliko vitu.
[emoji666]Dola kutafutiza makosa ili kuwafunguliwa kesi za kisiasa wapinzani.
[emoji666]Kutekwa watu na wengine kurudi pasipo kuwekwa wazi au chunguzi au maelezo hata kwa waliotekwa ili kuelezea kinagaubagwa au kuhojiwa na wanahabari.
[emoji666]Watu kupotea na kukutwa kwenye viroba katika maeneo ya fukwe za bahari, hakuna majibu hadi leo!.
[emoji666]Kutungwa kwa sheria ngumu ya mitandao, kuzuia haki ya kujieleza kinyume na misingi ya haki za kikatiba na haki za binadamu.
[emoji666]Kudorora kwa haki za binadamu eg. wanafunzi waliopata ujauzito kutopata haki ya kuendelea kusoma.
[emoji666]Kubadili kwa Sheria na Kanuni za Chaguzi za kupata viongozi wa Kiserikali ili kuwazuia wapinzani wasipate ushindi, hiyo ni nje ya matumizi mabaya ya Vyombo vya Usalama. eg. PolisiDola/...
[emoji666]Kukosekana kwa utawala bora hata katika hali tu iliyozoeleka katika kutofuata sheria za nchi.
Mawakili hawajawahi kuwa wajinga, wanatambua yanayoendelea, kutofuatwa kwa Sheria na kukiukwa kwa Haki za binadamu nchini.
Mungu awaongoze wananchi wote kuendelea kuungana na kushikamana katika kusimamia haki na sheria. "Sema inatosha sasa"!.
Alitakiwa kuwa mkurugenzi wa wanyamapori, akatatue matatizo ya nyumbuKuna Mjamaa amepata kazi ya Urais hapo Magogoni ila Nafasi ya Urais bado haijapata Mtu sahihi..
Makamanda watakuunga mkono, usiwe na wasiwasi.Tumeanzisha Azimio la kumeudisha kwao Chato ndugu Watanzania tuliungeni mkono.
Kuna Mjamaa amepata kazi ya Urais hapo Magogoni ila Nafasi ya Urais bado haijapata Mtu sahihi..
hamna kitu hapa ufipa and the likes mnahangaika.......hahhhahhahhHili azimio litoshe kumfungua macho Jiwe, uhuru wa watu ungekuwa hauminywi haki za kidemokrasia zingekuwa hazisiginwi Taifa lingekuwa na umoja wa nguvu kuwalaani wazungu juu ya kutushinikiza kubadiri sheria za nchi kuhusu mambo ya ushoga. Lakini matendo yake ya ukandamizaji wa haki za msingi za kikatiba na kisiasa zilizoko kisheria yametuletea mgawanyo wa kitaifa kiasi kwamba watu wanawaona wazungu ni wakombozi badala ya yeye kiongozi wetu!.
Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.
Fikiria kwa mfano Taifa liingie vitani na Malawi, huku wananchi wa kusini wanapigwa danadana kulipwa korosho zao, Huku watu wa kaskazini wakilalamika kutengwa, huku wapinzani wakiminywa hawapumui. HIYO COALITION YA KITAIFA ITAPATIKANAJE?
Wazungu huwa hawaingii kiurahisi katika nchi zenye umoja, bali watawala kwa matendo yao hutengeneza mazingira ya watu kuwaomba wazungu waje wasaidie bila hata kujali gharama!.
Sasa ona leo Wazungu wanatumia loophole za uminywaji wa haki za kiraia kupenyeza kiakili sana ajenda yao ya ushoga!, Laiti tungekuwa tumeungana, Taifa lina haki, Sote tungewashukia hawa jamaa kama mwewe!
KITU KIKUBWA CHA KUTISHIA USALAMA WA NCHI HUWA NI KUTOKUHESHIMU KATIBA NA SHERIA ZA NCHI, HATA MWALIMU ALILIITA JAMBO HILI KUWA NI NYUFA