imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,677
- 71,034
Mimi ni kamanda rasmi najiunga mkono.Makamanda watakuunga mkono, usiwe na wasiwasi.
Mimi ni kamanda rasmi najiunga mkono.Makamanda watakuunga mkono, usiwe na wasiwasi.
Wanajaribu kulipakaa matope taifa letu kwa nguvu sana, hadi kumuondoa Balozi wao na kusingizia amefukuzwa. Ni vema wananchi tufumbue macho kutazama hizi siasa za kimataifa zinavyoenda baada ya kuwapiga pini katika mianya yao ya kutunyonya.Hawa EU ni waongo hawa, hapa wanadai balozi wao alilazimishwa kuondoka nchini, waka Balozi Mahiga alisema ukweli kuwa hakufukuzwa bali aliitwa Nyumbani.
Hata ukisema ukweli kwa asilimia 99%, ukichomekea hoja moja tuu ya uongo, uongo huo una discredit zile kweli zote 99 na kufanya hoja zote zionekane ni uongo mtupu, na hoja hizi ndizo zinazotumika kisheria kwa kuitwa the benefits of doubt kumaanisha ukweli lazima uwe ni kweli tupu beyond the reasonable doubt, na kukitokea mashaka yoyote, mtuhumiwa anapewa na the benefits of doubt.
Sasa hapa nani mkweli na nani muongo, haiwezekani wote wawe wakweli au wote wawe waongo. Watanzania tumwamini nani kati ya EU na Waziri Wetu Balozi Mahiga?.
P.
Azimio kama hilo hao wazungu walilitoa kwa Uganda kuhusu Bobi Wine, sasa sijui waliishia wapi. Makamanda wanashangilia na kupoteza muda bure tu. Wanadhani sasa ndio wanaingia ikulu, ha ha ha.hamna kitu hapa ufipa and the likes mnahangaika.......hahhhahhahh
kama nyie mlivyo emotional na mambo ya demokrasia yasio na msingi sana zaidi ya maendeleo ya kiuchumi ya nchi yanayofanywa na serikali ya hapa kazi ya awamu ya tano.
Jiunge na mguu kabisa.Mimi ni kamanda rasmi najiunga mkono.
Sasa wewe kinachokuwasha ni kipi?!Jiunge na mguu kabisa.
Nimekuambia kuna kitu kinaniwasha?Sasa wewe kinachokuwasha ni kipi?!
punguza hasira kidogo akili ikukae sawa.Wewe ni Maharo,synonymous na uharo!
Uchumi bila demokrasia na uhuru ni upumbavu.....Kama ni muhimu ni heri tungebaki na mkoloni tuchape viboko tupate magorofa!
Wewe ni mtu wa ajabu kabisa....Una-compare "UHURU" na "UCHUMI" wa kidikteta?
Hivi mzima kweli wewe?Really?
What kind of shitty thinking is this bro?
We are in deep shit with these kind of CCM people!
hahhhahhhahhahhahhah yani wanachekesha kweli.Azimio kama hilo hao wazungu walilitoa kwa Uganda kuhusu Bobi Wine, sasa sijui waliishia wapi. Makamanda wanashangilia na kupoteza muda bure tu. Wanadhani sasa ndio wanaingia ikulu, ha ha ha.
Tena sana....wako desperate...
Kweli mkuu,binafsi wala siwapingi kwa wanachoituhumu srikali yetu,ukakasi unakuja kwann ukomalie kwetu tu jambo hili while kuna nchi zingine hali ni mbaya zaidi ya hapa kwetu,kwa jicho la mbali rais wetu inabidi awe makini sana ktk hili
Kada mwingine huyu ukishavaa shati la kijani tu lazima urukwe na akiliTusipofanya watatufanya nini? Kweli Bunge la Ulaya linatawala Tanzania?
Nachojua sisi ni wanachama wa jumuia ya umoja wa kimataifa UNO na sio EU. EU sisi inatuhusu nini?
Nyie nafikiri mtambabaisha nani? Magufuli?
Akili zenu ziko matakoni. Mnashindwa kutambua function ya EU. Kama Tanazania inakiuka haki za binadam wampeleke Rais wetu basi in The Hague. Si walifanya hivyo baada ya uchaguzi? Waliishia wapi?
Kama Tanzania ingekuwa inakiuka haki za binadam UNO si ingeingilia kati na kulaani kitendo hicho na kutuma vyombo vinavyo husika kuja kufanya mashauriano na serikali na kama tusinge acha UNO ingepitisha Azimio lolote zidi ya nchi yetu na sio EU. Mbona Kenya walifanya hivyo?
Kila mara nasikia EU EU EU EU EU EU EU EU mbona si sikii UNO UNO UNO UNO UNO UNO. What is EU?
Mnaamini kweli member states za EU zitumie maelfu yao ya pesa kuitisha kikako ili kuijadili Tanzania? Wamepata wapi mamlaka hayo? Kwa misingi ipi? Kwani nchi yetu ni member state ya EU?
Ahsante mkuu. Wakati mwingine inalazimu kuwashindilia ukweli huenda siku moja wataukubali.Mkuu, huyo unaejaribu kumpa uelewa hawezi kukuelewa ng'oo, hapo ndipo iq yake ilipoishia, usimjaze zaidi atapata kifafa cha ubongo, hebu soma comments zake itajua nini nakwambia
Mkuu ingependeza ukatumia neno “wangu” badala ya wetu hapo baada ya neno jiwe
Shekhe Mussa alhad hawezi kisema hivyo, pesa za kuhonga atazipata wapi tena? Anasubiri za kipewa na Makonda ndio akavulie wanawake nguo zao.Hivi ndiye yule sheikh mpenda chini.?
Nadhan hawa vibaraka wa ccm hawana vichwa ni shingo tuu zinaelea ...Wewe ni Maharo,synonymous na uharo!
Uchumi bila demokrasia na uhuru ni upumbavu.....Kama ni muhimu ni heri tungebaki na mkoloni tuchape viboko tupate magorofa!
Wewe ni mtu wa ajabu kabisa....Una-compare "UHURU" na "UCHUMI" wa kidikteta?
Hivi mzima kweli wewe?Really?
What kind of shitty thinking is this bro?
We are in deep shit with these kind of CCM people!
Hili litoshe kumjulisha kuwa ipo siku Taifa litapata challenge inayotaka umoja wa kitaifa kulitatua lakini kwa kuwa watu wameminywa, wamegawanyika wanaona hata huo wito wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kupambana kwa pamoja kuondoa tatizo husika hauna maana!.