Mtabaki na hayo maazimio yenu ya wazungu na 2020 mnapigwa tena chini baada ya kuzungusha mikono na kupiga deki barabara.
Tegemeeni hao wazungu wenu ili mshike dola, ha ha ha.Then tukishapigwa chini wewe utafaidika na nini pale uhuru wa watu utakavyozidi kuminywa, udikteta kutamalaki, vyombo vya habari kuminywa, watu kuzidi kupotea, na ukatili kuota pembe?
By the Way, NEC yenu, Polisi wenu, Usalama wenu, Vifaru vyenu, Sasa cha ajabu nini hata mkijipa asilimia 99 ya ushindi?
Marekani kaandaa nyambizi kubwa ipo njiani inasogea itakuja mpaka feri chini kwa chini kufanya upelelezi wake kabla mtukufu hajahamia DodomaHuyu mtu wamtenge tu mpaka atakapojirekebisha.
Kwa mtazamo wangu,haya maazimio ni kama mtego na akiendelea na kiburi chake,basi ajue tu watakwenda zaidi ya hapa.
Na tujue tu US watawaunga mkono EU.
Nijuavyo mm Hana uthubutu huo isije kuwa umemlisha maneno"Tujitahidi na tuanze kwa kujiuliza, Je, yanayosemwa ni ya kweli ama tunasingiziwa kama Taifa? Kama ni ya kweli; basi ni suala ya kuyafanyia Marekebisho maana tumesaini Mikataba mingi ya Kimataifa inayohusu Haki za Binadamu. Hapa sio EU na USA wanaotubana, bali ni Mikataba husika tuliyokubali kuingia na Mataifa hayo ambayo kimsingi ndio Wanachama wenzetu". Amesema Shehe huyo.
Naye Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema, Bunge la EU limetoa azimio hilo kwa sababu nao ni sehemu ya Wadau wa Maendeleo ya Nchi yetu na ni haki ya Taifa lolote kukemea ukiukwaji wa Haki za Binadamu unapojitokeza katika Nchi ama Taifa lingine.
" Kama sisi imeshindikana kusikilizwa, basi ni sahihi kupata Ushirikiano wa Nchi hizo. Na Maazimio hayo sio kuingilia Uhuru wetu, ila Serikali ijitafakari kwani ni kweli Uhuru na Haki ya kujieleza vinabanwa na wakosoaji wanakutana na hali mbaya". Amesema Ole Ngurumwa.
Tegemeeni hao wazungu wenu ili mshike dola, ha ha ha.
Safi sana sheikh."Tujitahidi na tuanze kwa kujiuliza, Je, yanayosemwa ni ya kweli ama tunasingiziwa kama Taifa? Kama ni ya kweli; basi ni suala ya kuyafanyia Marekebisho maana tumesaini Mikataba mingi ya Kimataifa inayohusu Haki za Binadamu. Hapa sio EU na USA wanaotubana, bali ni Mikataba husika tuliyokubali kuingia na Mataifa hayo ambayo kimsingi ndio Wanachama wenzetu". Amesema Shehe huyo.
Naye Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema, Bunge la EU limetoa azimio hilo kwa sababu nao ni sehemu ya Wadau wa Maendeleo ya Nchi yetu na ni haki ya Taifa lolote kukemea ukiukwaji wa Haki za Binadamu unapojitokeza katika Nchi ama Taifa lingine.
" Kama sisi imeshindikana kusikilizwa, basi ni sahihi kupata Ushirikiano wa Nchi hizo. Na Maazimio hayo sio kuingilia Uhuru wetu, ila Serikali ijitafakari kwani ni kweli Uhuru na Haki ya kujieleza vinabanwa na wakosoaji wanakutana na hali mbaya". Amesema Ole Ngurumwa.
Mnapoteza muda tu. Kura zinatokana na wananchi sio hao wazungu wenu.Tegemeeni wachina Komba mwiko wakombe mpaka sufuria na ndoo za maji
Ndiyo huyo huyo Shehe mpora wake za watu kaamua kujitutumua kwa kujitoa fahamu zote akidhani watanzania ni wajinga kama yeye.Hivi ndiye yule sheikh mpenda chini.?
Angekuwa shehe ponda ningeamini, hawa wengine ni wasanii tu
Ni kawaida yake huyu jamaa kuwalisha watu maneno. Usishangae.Huyo Shehe katamka hivyo mwenyewe au aliwakilishwa?
Mnapoteza muda tu. Kura zinatokana na wananchi sio hao wazungu wenu.
Astaghafillullah!Ndiyo huyo huyo Shehe mpora wake za watu kaamua kujitutumua kwa kujitoa fahamu zote akidhani watanzania ni wajinga kama yeye.
Ngojeni 2020 mpate fursa nyingine ya kuzungusha mikono na kufagia barabara.Hakuna cha Kura za mwananchi, kura Zipo NEC za kumwaga tu, wasiwasi wako nini?. Mtatawala milele!!
Ngojeni 2020 mpate fursa nyingine ya kuzungusha mikono na kufagia barabara.