European Parliament resolution on Tanzania

European Parliament resolution on Tanzania

Hakuna uhuru (sovereignty) kwenye haki za binadam. Swala la haki za binadam ni swala la kimataifa hivyo usilalamike. Hata Tanzania ina haki ya kukemea hayo ya Trump unayoyasema hapa.
 
intimidation! intimidation! intimidation! intimidation! intimidation! kila kitu intimidation! ulaya intimidation! marekani intimidation! tz intimidation! hata mleta uzi intimidation!
Sasa !ni sawa lakini siku zote ukitaka kumuua mbwa lazima umtafutie jina baya (mwizi,anakula vifaranga, n.k), Tanzania yangu na nchi yangu, if we are not serious on this we are going to be losers cause intimidation! is every where, lets be strong joining together and building up our country
tukumbuke ya l-i-b-y-a
 
Attachments

  • 2000px-Flag_of_Libya.svg.png
    2000px-Flag_of_Libya.svg.png
    8.3 KB · Views: 35
Salaam wazazi wenzangu!

Nina imani wengi hadi wakati huu Tumeona na kusoma azimio liliotolewa na Bunge la Ulaya. Kiini cha azimio hilo ikichagiza ushoga. Serikali ya awamu ya tano inapokuwa ngangali katika kukemea jambo hili, ndio wanaamua kutoa vitisho kuitingisha serikali endapo ushoga hautaruhusiwa. Kwenye hili swala halina udini, uchama wala ukabila hakuna familia ingependa kuona watoto wake wakishiriki katika vitendo vya kifiraji. Wanasiasa nanyi ni wazazi na viongozi wa dini ni wazazi pia. Je tungependa hili jambo tuwe nalo katika jamii yetu? Ni Kiongozi muovu sana atakayesimama kupongeza vitisho tunavyopewa na Bunge la Ulaya.

USHAURI: Katika hili ni wazi kabisa serikali wana sauti kubwa ya maamuzi, hivyo wanasiasa bila kujali vyama, wasomi na wananchi kwa ujumla hatuna budi kuungana na serikali katika vita hii. Kuhakikisha ya kuwa heshima ya taifa letu haichezewi au kupangiwa nini cha kufanya na mataifa mengine. Hii ni katika kuhakikisha ushoga hauna nafasi katika jamii yetu. Tuungane ndugu wananchi wenzangu, tuungane na serikali kuishinda vita hii dhidi ya ushoga.

Bunge la Ulaya wanatumia nguvu ya pesa kulazimisha ushoga uwe sehemu ya tamadani yetu (Ebu vuta taswira mtoto wako wa kiume anakuwa na mchumba wake wa kiume pia, wanakuja nyumbani kwako mzazi kukusalimia wakiwa wameshikana mikono na kugusana gusana) ni vituko vikubwa katika jamii yetu.
 
Ndo mapovu yanawatoka mnapambana na EU na US hapa JF?😅😅
 
Mzee baba unaujua msimamomwa serikali au umetoka usingizini achana na story za wakina mpango nje ya vikorido
IMG_20181104_221808.jpeg
 
Taja yote waliyoazimia usichague lile linalokuwasha wewe, halafu hawajalazimisha ushoga ila kama unaupenda
 
Huwa wanatafuta sababu za kuingia ili wapenyeze ajenda yao, Sasa usipokuwa makini utawapa sababu ya kuingia wewe mwenyewe kutokana na matendo yako, maana watakuja na hoja za demokracy, human rights, freedom of speech na mambo kibao!. Ila laiti kiongozi akiviheshimu hivyo vitu, huwa hawawezi kuingia kiurahisi maana Taifa zima linakuwa limeungana!
Taifa haliwezi kuungana maana walishatia chuki zao miongoni mwetu na tayari tunajiona sisi ni wazungu weusi although they are kidding us
 
Salaam wazazi wenzangu!

Nina imani wengi hadi wakati huu Tumeona na kusoma azimio liliotolewa na Bunge la Ulaya. Kiini cha azimio hilo ikichagiza ushoga. Serikali ya awamu ya tano inapokuwa ngangali katika kukemea jambo hili, ndio wanaamua kutoa vitisho kuitingisha serikali endapo ushoga hautaruhusiwa. Kwenye hili swala halina udini, uchama wala ukabila hakuna familia ingependa kuona watoto wake wakishiriki katika vitendo vya kifiraji. Wanasiasa nanyi ni wazazi na viongozi wa dini ni wazazi pia. Je tungependa hili jambo tuwe nalo katika jamii yetu? Ni Kiongozi muovu sana atakayesimama kupongeza vitisho tunavyopewa na Bunge la Ulaya.

USHAURI: Katika hili ni wazi kabisa serikali wana sauti kubwa ya maamuzi, hivyo wanasiasa bila kujali vyama, wasomi na wananchi kwa ujumla hatuna budi kuungana na serikali katika vita hii. Kuhakikisha ya kuwa heshima ya taifa letu haichezewi au kupangiwa nini cha kufanya na mataifa mengine. Hii ni katika kuhakikisha ushoga hauna nafasi katika jamii yetu. Tuungane ndugu wananchi wenzangu, tuungane na serikali kuishinda vita hii dhidi ya ushoga.

Bunge la Ulaya wanatumia nguvu ya pesa kulazimisha ushoga uwe sehemu ya tamadani yetu (Ebu vuta taswira mtoto wako wa kiume anakuwa na mchumba wake wa kiume pia, wanakuja nyumbani kwako mzazi kukusalimia wakiwa wameshikana mikono na kugusana gusana) ni vituko vikubwa katika jamii yetu.
Tanzania tumekuwa tukilalamika kwa muda mrefu kuwa tunawekewa vikwazo kwenye misaada kwa sababu ya Ushoga. Nikakumbuka magojwa makuu ya Tanzania kuwa ni Ujinga, Umasikini, na Kukosa maarifa (maradhi). Kama tumeshindwa kutofautisha kati ya ushoga na Tabia mbaya kweli wanasiasa na wasomi (phd na maprofesa) bado tunasumbuliwa na ujinga.

Nini Maana ya shoga (Gay)

> Ni mtu ambaye anaongea kama mwanamke na tabia zake zinakuwa kama mwanamke siyo ugonjwa wa kujitakia lakini lazima aheshimiwe kwa sababu yupo hivyo kutokana na maumbile na tabia zake

Tafsiri wa Watanzania (tabia mbaya)

> Tumekuwa tukimtafisiri shoga kama ni mtu ambaye anafanya mapenzi kinyume cha maumbile, 'hii ni tabia tu' ambayo mtu anakuwa nayo kwa kujitakia kwa hiyo ni tabia mbaya ambayo mwanamke na mwanaume wanayo kwa sasa.

Wapi tujitoe ujinga.

> Ni muda watanzania tukafocus kwenye mipango miji (Master plan) ili kuwa na mipango endelevu la sivyo tutasubiri sana kupata maendeleo na itakuwa less developing country milele (Shithole).
 
Mzee baba unaujua msimamomwa serikali au umetoka usingizini achana na story za wakina mpango nje ya vikoridoView attachment 970359
Tanzania tumekuwa tukilalamika kwa muda mrefu kuwa tunawekewa vikwazo kwenye misaada kwa sababu ya Ushoga. Nikakumbuka magojwa makuu ya Tanzania kuwa ni Ujinga, Umasikini, na Kukosa maarifa (maradhi). Kama tumeshindwa kutofautisha kati ya ushoga na Tabia mbaya kweli wanasiasa na wasomi (phd na maprofesa) bado tunasumbuliwa na ujinga.

Nini Maana ya shoga (Gay)

> Ni mtu ambaye anaongea kama mwanamke na tabia zake zinakuwa kama mwanamke siyo ugonjwa wa kujitakia lakini lazima aheshimiwe kwa sababu yupo hivyo kutokana na maumbile na tabia zake

Tafsiri wa Watanzania (tabia mbaya)

> Tumekuwa tukimtafisiri shoga kama ni mtu ambaye anafanya mapenzi kinyume cha maumbile, 'hii ni tabia tu' ambayo mtu anakuwa nayo kwa kujitakia kwa hiyo ni tabia mbaya ambayo mwanamke na mwanaume wanayo kwa sasa.

Wapi tujitoe ujinga.

> Ni muda watanzania tukafocus kwenye mipango miji (Master plan) ili kuwa na mipango endelevu la sivyo tutasubiri sana kupata maendeleo na itakuwa less developing country milele (Shithole).
 
Jiwe anapaswa kujifunza jinsi ya kuishi na watu vizuri ubabe hausaidii, atambue kila mbabe na mbabe wake. Anaweza kumtendea Mbowe atakavyo lkn kuna wengine nao wanaweza kumtenda kama anavyomtenda Mbowe.
😳😳😳
 
All in all kama wao wanaona nchi haina demokrasia ,, je wao kuipangia serikali ifate wanachotaka wao ni demokrasia? lets think properly, i believe hizo mikwara walianza kitambo sana na wanajamba kwenye maji tu, although many of my fellow tz raia wameshalishwa ugoro wa kithungu saiv wanatapika tu utadhani walizaliwa Mexico, wanadiriki hata kujivalisha ushoga ili mzungu apitishe lengo lake,
#This is the time to wake up, pesa anazokununua white cockroach leo usifikiri zitakuja kumsaidia grand son wako 2050, fikiri ya jana , leo na kesho , usikurupuke hamna hata white cockroach mmoja anakutakia mema wewe m tz u are just wasting ur time,
mfikirie muafrika mwenzako atakaye ishi 60 years leter usishabikie ujinga!😡😡😡
 
.

The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania, including that of 12 March 2015,

– having regard to the Declaration by High Representative Federica Mogherini of 15 November 2018 on behalf of the EU on EU-Tanzania relations,

– having regard to the local EU statement of 23 February 2018 on the rise in politicallyrelated violence and intimidation in Tanzania,

– having regard to the Council conclusions of 16 June 2016 on LGBTI equality,

– having regard to the statement by Michelle Bachelet, UN High Commissioner for Human Rights (OHCHR), of 2 November 2018 on the prosecution and arrests of LGBT people in Tanzania,

– having regard to the EU Council’s Toolkit to promote and protect the enjoyment of all human rights by lesbian, gay, bisexual and transgender people (the LGBT Toolkit),

– having regard to the Universal Declaration of Human Rights, the International Covenant on Civil and Political Rights and the Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination against Women,

– having regard to the UN Convention on the Rights of the Child,

– having regard to the African Charter on Human and Peoples’ Rights (ACHPR),

– having regard to the ACP-EU Partnership Agreement (‘Cotonou Agreement’),

– having regard to Rules 135(5) and 123(4) of its Rules of Procedure,

A. whereas, since the election of Tanzanian President John Pombe Magufuli in 2015, basic rights in the country have been undermined through repressive laws and decrees; whereas critical journalists, opposition politicians and outspoken civil society activists have faced threats, arbitrary detention and harassment;

B. whereas there has been increasing stigmatisation, violence and targeted arrests against LGBTI people over the past two years in the country; whereas, under Tanzanian law, same-sex relationships are criminal offences punishable by 30 years to life imprisonment; whereas Tanzania’s anti-homosexuality law is among the harshest in the world;

C. whereas suspected gay men in Tanzania are subjected to forced anal examinations, a discredited method of ‘proving’ homosexual conduct that the United Nations and the African Commission on Human and People’s Rights have denounced as torture;

D. whereas Paul Makonda, the regional commissioner of Dar Es Salaam, has been a prominent advocate of the repression; whereas, at a press conference on 31 October 2018, he announced the creation of a task force to track down gay men, prostitutes and people conducting fraudulent fundraisers on social media; whereas he called on the public to report suspected gay people to the authorities;

E. whereas the Ministry of Health has temporarily suspended the provision of HIV and AIDS services at community level and has closed drop-in centres for key populations, including gay men; whereas it closed 40 health centres on 17 February 2017 for allegedly encouraging homosexuality; whereas several organisations have reported that the crackdown on the LGBTI community has resulted in HIV-positive men failing to access their anti-retroviral treatment, while others have stopped accessing testing and preventive services;

F. whereas in November 2018 ten men were arrested in Zanzibar for allegedly conducting a same-sex marriage ceremony; whereas 13 health and human rights activists were arrested on 17 October 2018 for participating in a meeting to discuss a law restricting the access of LGBTI people to some health services;

G. whereas many children and adolescents, particularly girls, are exposed to human rights abuses and harmful practices, including widespread sexual violence, corporal punishment, child marriages and teenage pregnancies, that make schooling difficult or impossible for them; whereas the Tanzanian Government obstructs access to sexual and reproductive health services and intimidates organisations providing information about such services;

H. whereas on 22 June 2018 President Magufuli issued a declaration banning pregnant girls from attending school; whereas the authorities are intimidating civil society organisations (CSOs) that advocate the rights of pregnant girls to go back to school;

I. whereas the Tanzania Commission for Human Rights and Good Governance has not been operational for some time; whereas President Magufuli has not appointed commissioners or other office bearers to the Commission;

J. whereas the government has shut down or threatened privately owned radio stations and newspapers, and ended live transmissions of parliamentary debates; whereas local channels and decoders which air local channels have been closed;

K. whereas Tanzania’s National Assembly passed the Cybercrimes Act in 2015 and the Online Content Regulations in September 2018 with the aim of controlling content used on social media; whereas the Statistics Act adopted in 2015 states that it is not allowed to discuss or question certain statistics communicated by the government;

L. whereas leading opposition members are regularly arrested on charges ranging from allegedly insulting the President to false information and sedition; whereas 20 members of Tanzania’s main opposition party were arrested in July 2018 over claims that they were fomenting trouble; whereas several political opposition members and parliamentarians have been violently attacked and even killed since the start of 2018; whereas on 22 February Godfrey Luena, a member of parliament with Tanzania’s main opposition party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and a vocal land rights defender, was killed with machetes outside his home; whereas in November 2018 the programme coordinator of the Committee to Protect Journalists (CPJ), Africa Angela Quintal, and her colleague Muthoki Mumo were arrested and released after pressure by international institutions;

M. whereas tourism development in recent years has led to increased activity, particularly in the Serengeti region where the Maasai live; whereas the control of arable or scarce land for speculative purposes has led to strong tensions in the area;

N. whereas the EU Head of Delegation Roeland van de Geer was forced to leave the country after the Tanzanian authorities exerted increased pressure on him; whereas, since the election of President Magufuli, the Head of UN Women, the Head of the UNDP and the Head of Unesco have all been expelled from Tanzania;

O. whereas the EU High Representative Federica Mogherini has announced a comprehensive review of the Union’s relations with Tanzania;

1. Expresses its concern about the deteriorating political situation in Tanzania characterised by a shrinking of the public space through the tightening of restrictions on the activities of civil society organisations, human rights defenders, the media and many political parties; is especially worried about the deteriorating situation for LGBTI persons;

2. Denounces all incitement to hatred and violence on grounds of sexual orientation; urges the Tanzanian authorities to ensure that Paul Makonda ends his provocation against the LGBTI community and is brought to justice for incitement to violence;

3. Calls for independent investigations to be conducted into cases of attacks and assaults on journalists, LGBTI people, human rights defenders and opposition party members, with a view to bringing suspected perpetrators to justice;

4. Reminds the Tanzanian Government of its obligation, including commitments made under the Cotonou Agreement, to protect the rights, dignity and physical integrity of all its citizens in all circumstances;

5. Calls on Tanzania to repeal laws criminalising homosexuality;

6. Urges the EU and its Member States to make full use of the LGBT Toolkit to encourage third countries to decriminalise homosexuality, help reduce violence and discrimination and protect LGBTI human rights defenders;

7. Calls on the Tanzanian authorities to amend all restrictive provisions in the Cybercrimes Act, the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations and the Media Services Act and replace these with provisions that will guarantee freedom of expression and the media in line with international human rights standards;

8. Calls on the Tanzanian authorities to repeal any laws, policies or other barriers to services and information that women, girls and young mothers need for a healthy life, most notably President Magufuli’s declaration that girls who give birth should not be allowed to return to school, including the repeal of regulations that make it legal for pregnant girls to be expelled from school;

9. Urges the President of Tanzania to make the country’s Human Rights Commission operational as soon as possible, to appoint commissioners to follow up on human rights violations, and to take action to support domestic workers abroad;

10. Calls on the Tanzanian authorities to release political prisoners;

11. Expresses serious concern about the pressure exerted by the Tanzanian Government on the EU Head of Delegation, Roeland van de Geer; welcomes the decision of the European Union and its Member States to conduct a comprehensive review of EU policies towards Tanzania; insists on the importance of political dialogue to seek tangible commitments from the Tanzanian authorities towards creating an enabling environment for the operation of civil society, political parties and the media; calls on the Commission to ensure that an explicit reference to non-discrimination based on sexual orientation is included in the future ACP-EU partnership agreement post-2020;

12. Expresses concern at the situation of the Maasai people; denounces the use of force by the authorities and security forces;

13. Calls on the Tanzanian authorities to act decisively to safeguard the rights of civil society organisations, human rights defenders, journalists, health workers and political activists in accordance with the Tanzanian constitution, the African Charter of Human and Peoples’ Rights and the country’s international and regional obligations and commitments;

14. Calls for the EU to continue to closely monitor the human rights situation in Tanzania, particularly through regular reporting by its delegation; calls on the European Union Delegation and Member States to do all they can to provide emergency protection and support to human rights defenders at risk;

15. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice-President of the European Commission / High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the EU Special Representative for Human Rights, the ACP-EU Council, the institutions of the African Union, the institutions of the East African Community, and the President, Government and Parliament of Tanzania.

SOURCE: http://www.europarl.europa.eu/sides...+P8-RC-2018-0570+0+DOC+PDF+V0//EN&language=EN
YEYOTE ANAYETETEA AU KUSHABIKIA HAYO MAAMUZI HAPOHAPO NAANZA KUFIKIRI LABDA ANA PATA FAIDA NA LGBTI. SI BURE KABISA
 
"Tujitahidi na tuanze kwa kujiuliza, Je, yanayosemwa ni ya kweli ama tunasingiziwa kama Taifa? Kama ni ya kweli; basi ni suala ya kuyafanyia Marekebisho maana tumesaini Mikataba mingi ya Kimataifa inayohusu Haki za Binadamu. Hapa sio EU na USA wanaotubana, bali ni Mikataba husika tuliyokubali kuingia na Mataifa hayo ambayo kimsingi ndio Wanachama wenzetu". Amesema Shehe huyo.

Naye Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema, Bunge la EU limetoa azimio hilo kwa sababu nao ni sehemu ya Wadau wa Maendeleo ya Nchi yetu na ni haki ya Taifa lolote kukemea ukiukwaji wa Haki za Binadamu unapojitokeza katika Nchi ama Taifa lingine.
" Kama sisi imeshindikana kusikilizwa, basi ni sahihi kupata Ushirikiano wa Nchi hizo. Na Maazimio hayo sio kuingilia Uhuru wetu, ila Serikali ijitafakari kwani ni kweli Uhuru na Haki ya kujieleza vinabanwa na wakosoaji wanakutana na hali mbaya". Amesema Ole Ngurumwa.
 
All in all kama wao wanaona nchi haina demokrasia ,, je wao kuipangia serikali ifate wanachotaka wao ni demokrasia? lets think properly, i believe hizo mikwara walianza kitambo sana na wanajamba kwenye maji tu, although many of my fellow tz raia wameshalishwa ugoro wa kithungu saiv wanatapika tu utadhani walizaliwa Mexico, wanadiriki hata kujivalisha ushoga ili mzungu apitishe lengo lake,
#This is the time to wake up, pesa anazokununua white cockroach leo usifikiri zitakuja kumsaidia grand son wako 2050, fikiri ya jana , leo na kesho , usikurupuke hamna hata white cockroach mmoja anakutakia mema wewe m tz u are just wasting ur time,
mfikirie muafrika mwenzako atakaye ishi 60 years leter usishabikie ujinga!😡😡😡

Ila ubinywaji wa haki za msingi za raia, uonevu, ukatili, uvurugaji wa demokrasia, udikteta haya ndo mambo yatakuja kumsaidia mTZ miaka 60 ijayo au vipi?
 
Ila ubinywaji wa haki za msingi za raia, uonevu, ukatili, uvurugaji wa demokrasia, udikteta haya ndo mambo yatakuja kumsaidia mTZ miaka 60 ijayo au vipi?
Mtabaki na hayo maazimio yenu ya wazungu na 2020 mnapigwa tena chini baada ya kuzungusha mikono na kupiga deki barabara.
 
I knew it. Ignorance on the helm of incompetent leadership. At the helm of using ignorant conscripts to drum support on evil practices by their leader.

Thank God for putting a mirror before these hooligans to see their ignorance and stupidity..
 
Back
Top Bottom