Mpaka sasa hiyo ndiyo mechi iliyokuwa imechangamka sana na ilikuwa na ushindani sana. Mechi nyingi za Euro mwaka huu zimepoa sana, utafikiri wako kwenye mazoezi!!Ila game ilikuwa imechangamka sana
Atakuwa amevunja rekodi kushinda baina ya Timu hizo, maana tangu aanze kucheza timu ya taifa baina ya timu hizo hajawahi kushinda hata mechi mojaJapo kwa bahati mbaya sana Ronaldo hajawahi kutamba dhidi ya Ufaransa na Ujerumani lakini nadhani Portugal itabeba ndoo tena
Mkuu uliangalia mechi ya Netherlands vs Ukraine? Kwangu mimi nimeona ni moja ya mechi bora mpaka sasaMpaka sasa hiyo ndiyo mechi iliyokuwa imechangamka sana na ilikuwa na ushindani sana. Mechi nyingi za Euro mwaka huu zimepoa sana, utafikiri wako kwenye mazoezi!!
England sijui wanakwama wapi?....
Hivi hii timu huwa inakwama wapi?
Ureno wanatimu nzuri sana yenye kukutengenezea magoli ya kila aina.Japo kwa bahati mbaya sana Ronaldo hajawahi kutamba dhidi ya Ufaransa na Ujerumani lakini nadhani Portugal itabeba ndoo tena
France 3+Leo game zote za moto..
Sio za kumiss kabisa.
Yule hana anachojua na sikumbuki England kama walishawahi pata kocha mzuriKocha wa England ndio tatizo namba 1 kwenye mafanikio ya timu, huwezi ukamuweka Jack nje afu uanze Raheem!!
Huo mwaka ulioandika dunia itakuepo kweli?Ureno wanatimu nzuri sana yenye kukutengenezea magoli ya kila aina.
Watafika fainali kwenye michuano hii na world Cup 20202 watafanya vizuri pia.
Hahaha itakuwepo tuHuo mwaka ulioandika dunia itakuepo kweli?
Na hapo Hungary hatuna star wetu Dominick10.#FRA have attempted six shots against #HUN so far.
Kylian Mbappé has been responsible for four of them.
#EURO2020
Hata Portugal walituotea tu.Na hapo Hungary hatuna star wetu Dominick10.