Ngoja tuone second half itakuwajeNa hapo Hungary hatuna star wetu Dominick10.
Hawachomoki hawa kina kandeNgoja tuone second half itakuwaje
Mkubwa kaisha tanguliwa ngoja tuone mwisho itakuajeHuu mpira wa France na Hungry ni vurugu tupu kama chandimu vile.
Wakuu mwenye link ya kustream hii game,atupie hapa tafadhali.
Kocha wa England ndio tatizo namba 1 kwenye mafanikio ya timu, huwezi ukamuweka Jack nje afu uanze Raheem!!
Yule hana anachojua na sikumbuki England kama walishawahi pata kocha mzuri
Itakua Grealish I guessJack ndio nani mkuu?