Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Portugal naamini kama wataendelea hivi watawatoa SPN. Tuko pamoja sana mashabiki wote wa Portugal.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Alvaro Negredo anatoka....Anaingia Cesc Fabregas.....

Negredo hajaonekana kabisa leo...
 
Huyu Almeida ana ma shoot .... Bado hayajapata target murua....
 
The good thing of POR ni kuwa wamebana every kind of space for SPA's One two..... Hakuna kabisa zile gonga zao tulizozoea.... Hii game Ref ndo ataitibua na kadi zake za Mfululizo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom