Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hata mimi nitakuwa upande wa Midfield maestro.......Andrea PIRLO...Tutakuwa wote swahiba...

Nilidhani ni mimi..kwakweli ni mzuri sana..hivi siwezi kudownload huu wimbo waungwana..

Penalties hazitabiriki bana...Anybody with Penalties Prediction????
Spain wao ni foul tu saa hizi.....lol
Spain wao ni foul tu saa hizi.....lol