Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Dah!!!...

Italy wanakosa goli la wazi kabisa......Huyu Balotelli bora wamtoe tu
 
Kuna kila dalili ya England kufuzu kwa nusu fainali.
 
Italy wanaweza kulipa gharama kubwa kwa kusamehe sana. Kosa dogo watakalolifanya linaweza kuwapatia bao ENG.
 
Jamani Blue jezi ni noma kwani Baloteli anafanya watu wapate presha presha.Uingereza anarudi kwao kiroho safi bila kelele
 
Soka ni mchezo hatari sometime.... Kama ule mpira ungepiga nyeti za Jamaa sijui ingekuaje pale...
 
England wanataka kucheza "counter attack" kwa kujaribu kucheza ndani ya eneo lao na hii ni hatari.
 
Barzagli analambwa yellow kadi kwa kumchezea vibaya mzee wa kudive Ashley Young
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom