Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Young kazidi kujirusha.... Namshauri abadili fani akawe Muogeleaji tu....
 
Scott Parker anaingia Jordan Henderson
England wanakosa goli la wazi hapa...
 
Huyu Diamante ni mzuri sana.....

Balotelli hovyo kabisa.....Bora hata angecheza Di Natale tu
 
Huyu kocha wa England vp yaani anamtoa Scot Parker na kumuingiza Jordan Henderson,kiungo cha England kitakufa na kuwafanya Italy watawale kati kati.
 
Huyu Pirlo katika hii team ni kama LeBron James wa HEAT... Anaichezesha team kuanzia kudefend mpaka kwenye kashambulizi.... Jamaa anajua saana... Sijui AW hamuoni????
 
Huyu kocha wa England vp yaani anamtoa Scot Parker na kumuingiza Jordan Henderson,kiungo cha England kitakufa na kuwafanya Italy watawale kati kati.

Anaona ndo mtu muafaka wa kumkaba PIRLO...Hahahah
 
Uingereza wakiendelea ni hii presha kwa kipindi cha pili cha ET, basi wanaweza pata goli
 
Naona kama penati inanukia kwenye hii game,ila ngoja 2subiri dkk 15 zilizobaki 2one.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom