Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Nilijua Italy atapita kwa vyovyote vile, hata kama England wakishinda wataishia kwa Ujerumani tu!
 
Hawa kina Cole sijui vp leo.... THANX for them as they gave a Semi Final TKT to ITA.... Thats so sweet to see a deserved team wins!!! Byebye wapiga Domo.... Back Home and keep Talking...
 
Penati aliyoipiga Andrea Pirlo na kufunga timu ya England kwenye Euro 2004 walifungwa penati kama hiyo na Helger Postiga wa Portugal.England out na Italy wameingia nusu fainali na watakutana na German.
 
GRAZIE per loro come loro hanno dato un biglietto Semifinale a Italia...
 
Alafu wote Ashley lol

Huyu Young simlaumu, kazoea kupiga free kick kwahio inawezekana akili yake ilikua kwenye free kick
 
Inamana Italy atachomoka kwa ujerumani?
Italy siku zote wanadharaulika....Hata mwaka 2006 watu waliwadharau matokeo yake wakachukua FIFA World Cup.....Na hata kwenye Euro ya mwaka 2000 walidharaulika matokeo yake walienda mpaka fainali na kushindwa na France na Golden Goal la David Trezeguet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom